Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

Sihitaji hotuba nzima, nitafsirie hicho kipande alikua anamaanisha nini huyu mheshimiwa
Matapeli na walaghai hawahitajiki katika Dini.Tunahitaji watu wanaolihubiri neno la Mungu na uwe umeitwa kweli na Mungu kufanya kazi yako.na siyo kufanya janja janja tu
 
Alikufanyia dhuluma gani.
Siyo lazima anifanyie dhuluma mimi! Ila kama ameua na kujeruhi watu kupitia cheo chake! Amedhulumu mali za watu wengine mfano magari ya kifahari, pesa taslimu, viwanja, nk. kupitia cheo chake! Tayari anakuwa moja kwa moja kwenye kundi la wauaji, matapeli na dhulumati.
 
Hata angefanyiwa maombi na Wachungaji wote dunia nzima,kama kweli alidhurumu haki za kuishi za watu,SULUHU NI TOBA TU!
 
  • Thanks
Reactions: M45
Chadema wana Boni Yai na CCM wana Boni Yai Viza
 
Huyo anayewauzia watu udongo eti Toka Israel bila kodi?
Huyo aliyenunua masemi yakusambaza maji ya upako yauzwayo bilakodi?
Huyo anayeuza mafuta yakula tukopo tudogo buku bilakodi?
Huyo anayeuza vipeperushi kanisani bilakodi?
Huyo anayejenga mahoteli ya kifahari kwao mbeya?
Huyo aliyeacha mke nasasa anaishi na mwanamke mdogomdogo bila kutuambia kama ni mkewe wandoa?
Huyo anayechukuwa viongozi wa kanisa nduguze huko mbeya???
Fungueni macho mumwabudu Mungu kwa hekima na maarifa... 🙏🏾
 
Siyo lazima anifanyie dhuluma mimi! Ila kama ameua na kujeruhi watu kupitia cheo chake! Amedhulumu mali za watu wengine mfano magari ya kifahari, pesa taslimu, viwanja, nk. kupitia cheo chake! Tayari anakuwa moja kwa moja kwenye kundi la wauaji, matapeli na dhulumati.
Weka ushahidi wako
 
Huyo anayewauzia watu udongo eti Toka Israel bila kodi?
Huyo aliyenunua masemi yakusambaza maji ya upako yauzwayo bilakodi?
Huyo anayeuza mafuta yakula tukopo tudogo buku bilakodi?
Huyo anayeuza vipeperushi kanisani bilakodi?
Huyo anayejenga mahoteli ya kifahari kwao mbeya?
Huyo aliyeacha mke nasasa anaishi na mwanamke mdogomdogo bila kutuambia kama ni mkewe wandoa?
Huyo anayechukuwa viongozi wa kanisa nduguze huko mbeya???
Fungueni macho mumwabudu Mungu kwa hekima na maarifa... 🙏🏾
Naona umeandika uzushi mtupu.
 
Weka ushahidi wako
Ungekuwa unaishi mjini, usingeomba ushahidi zaidi ya huo nilio uweka hapo juu. Bahati mbaya unaishi Mbozi ndani ndani huko.
Ukiamka asubuhi ni kula tu ugali na maharage, halafu ukishiba sasa ndiyo unakuja na mada zako za kuwasifia akina Makonda.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze.

Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye amekuwa Kipenzi cha watanzania na ambaye Nyota yake imeendelea kuwaka Muda wote ,ametoa tahadhari na kuwatahadharisha Watanzania kujiepusha kabisa na watu wanaotumia Neno la Mungu na mavazi ya viongozi wa Dini katika kuwarubuni wananchi na kujipatia ukwasi na utajiri.

Amesema wapo watu wanajiita viongozi wa Dini wanaukwasi mkubwa kupitia Dini,ambapo ukichunguza vizuri unaona hawahubiri na kumhubiri Yesu kristo,bali wanafanya kulitumia tu jina na neno la Mungu kujitajirisha na hawa utawajuwa kwa matendo yao.

Mwamba Mwenyewe Paul Makonda Ambaye siku zote amekuwa akimtumainia Mungu na kuwaheshimu sana viongozi wa Dini zote na wa Madhehebu yote, Amemmiminia sifa na pongezi Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Kuwa ni Mtumishi wa Mungu wa kweli na ambaye amekuwa akilihubiri neno la Mungu wakati wote Mwanzo mpaka mwisho wa mahubiri yake.

Na kwamba watu wote ni mashuhuda wa kazi njema na nzuri inayofanywa na Mtume huyo kwa watu . Mwamba Mwenyewe Paul Makonda anaendelea kujinyenyekeza na kujiweka mikononi Mwa Mungu Mwenyewe kiimani ,kwa kutambua kuwa huyo ndiye Mlinzi wake na ambaye anaendelea kumlinda ,kumtetea na kumpigania dhidi ya maadui zake wenye chuki binafsi na wivu tuView attachment 3101707

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Members wanaombeana.
 
Naona umeandika uzushi mtupu.
Ukiwa lichawa huwezi ona wala kuelewa...hata machawa ya pafidada saivi ndipo yanashtuka kuwa yalibakwa yenyewe yalijua yanastarehe!!!
Nenda kaangaze ukatoe sadaka ya kujimaliza ulalee njaa mwenzio akajenge mahoteli ya nyota nne kwao mbeya!!
Kwanini nayeye asijimalize akasaidia kujenga mahospitali,mashule,vituko vya yatima nk.
Majinga ndiyo ugaliwao sio wali Tena!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze.

Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye amekuwa Kipenzi cha watanzania na ambaye Nyota yake imeendelea kuwaka Muda wote ,ametoa tahadhari na kuwatahadharisha Watanzania kujiepusha kabisa na watu wanaotumia Neno la Mungu na mavazi ya viongozi wa Dini katika kuwarubuni wananchi na kujipatia ukwasi na utajiri.

Amesema wapo watu wanajiita viongozi wa Dini wanaukwasi mkubwa kupitia Dini,ambapo ukichunguza vizuri unaona hawahubiri na kumhubiri Yesu kristo,bali wanafanya kulitumia tu jina na neno la Mungu kujitajirisha na hawa utawajuwa kwa matendo yao.

Mwamba Mwenyewe Paul Makonda Ambaye siku zote amekuwa akimtumainia Mungu na kuwaheshimu sana viongozi wa Dini zote na wa Madhehebu yote, Amemmiminia sifa na pongezi Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Kuwa ni Mtumishi wa Mungu wa kweli na ambaye amekuwa akilihubiri neno la Mungu wakati wote Mwanzo mpaka mwisho wa mahubiri yake.

Na kwamba watu wote ni mashuhuda wa kazi njema na nzuri inayofanywa na Mtume huyo kwa watu . Mwamba Mwenyewe Paul Makonda anaendelea kujinyenyekeza na kujiweka mikononi Mwa Mungu Mwenyewe kiimani ,kwa kutambua kuwa huyo ndiye Mlinzi wake na ambaye anaendelea kumlinda ,kumtetea na kumpigania dhidi ya maadui zake wenye chuki binafsi na wivu tuView attachment 3101707

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Muhimu sana kwake ni kuwatafuta aliowakwaza na kuwaomba msamaha ili toba yake ipokelewe vema na Mwenyezi Mungu. Kuomba peke yako bila kuwaona uliowakwaza haina majibu kamili. Binadamu mwezako ni Mungu wa pili hivyo ukimkwaza ukamuomba msamaha na akakusamehe hata mbinguni umesamehewa.
 
Back
Top Bottom