Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

Wapigaji tupu hao
 
Makonda sehemu anayostahili kuwa kwa sasa ni gerezani akisuburia kunyonggwa hadi afe.
 
Ni dhambi tu ya mauaji na dhuluma ndiyo itakuwa inamtesa.
Bila shaka, maana kesha ombewa na Kardinali Pengo, Akaombewa na Sheikh Mkuu wa bakwata, Kesha ombewa na Maaskofu wa KKKT, Kaombewa na Mwamposa, Bado Gwajima na Kiboko ya Wachawi.

lakini hawa wachungaji na mapadre sijui kama kuna ambaye haja muombea.

Sijui huwa anafanya nini kuhisi ni mwenye dhambi sana.

Au ni access ya madaraka, hivyo anataka aombewe hadi na pope.
 
🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…