Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

Ndugu zangu Watanzania,

Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze.

Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye amekuwa Kipenzi cha watanzania na ambaye Nyota yake imeendelea kuwaka Muda wote ,ametoa tahadhari na kuwatahadharisha Watanzania kujiepusha kabisa na watu wanaotumia Neno la Mungu na mavazi ya viongozi wa Dini katika kuwarubuni wananchi na kujipatia ukwasi na utajiri.

Amesema wapo watu wanajiita viongozi wa Dini wanaukwasi mkubwa kupitia Dini,ambapo ukichunguza vizuri unaona hawahubiri na kumhubiri Yesu kristo,bali wanafanya kulitumia tu jina na neno la Mungu kujitajirisha na hawa utawajuwa kwa matendo yao.

Mwamba Mwenyewe Paul Makonda Ambaye siku zote amekuwa akimtumainia Mungu na kuwaheshimu sana viongozi wa Dini zote na wa Madhehebu yote, Amemmiminia sifa na pongezi Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Kuwa ni Mtumishi wa Mungu wa kweli na ambaye amekuwa akilihubiri neno la Mungu wakati wote Mwanzo mpaka mwisho wa mahubiri yake.

Na kwamba watu wote ni mashuhuda wa kazi njema na nzuri inayofanywa na Mtume huyo kwa watu . Mwamba Mwenyewe Paul Makonda anaendelea kujinyenyekeza na kujiweka mikononi Mwa Mungu Mwenyewe kiimani ,kwa kutambua kuwa huyo ndiye Mlinzi wake na ambaye anaendelea kumlinda ,kumtetea na kumpigania dhidi ya maadui zake wenye chuki binafsi na wivu tuView attachment 3101707

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wapigaji tupu hao
 
Siyo lazima anifanyie dhuluma mimi! Ila kama ameua na kujeruhi watu kupitia cheo chake! Amedhulumu mali za watu wengine mfano magari ya kifahari, pesa taslimu, viwanja, nk. kupitia cheo chake! Tayari anakuwa moja kwa moja kwenye kundi la wauaji, matapeli na dhulumati.
Makonda sehemu anayostahili kuwa kwa sasa ni gerezani akisuburia kunyonggwa hadi afe.
 
Ni dhambi tu ya mauaji na dhuluma ndiyo itakuwa inamtesa.
Bila shaka, maana kesha ombewa na Kardinali Pengo, Akaombewa na Sheikh Mkuu wa bakwata, Kesha ombewa na Maaskofu wa KKKT, Kaombewa na Mwamposa, Bado Gwajima na Kiboko ya Wachawi.

lakini hawa wachungaji na mapadre sijui kama kuna ambaye haja muombea.

Sijui huwa anafanya nini kuhisi ni mwenye dhambi sana.

Au ni access ya madaraka, hivyo anataka aombewe hadi na pope.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze.

Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye amekuwa Kipenzi cha watanzania na ambaye Nyota yake imeendelea kuwaka Muda wote ,ametoa tahadhari na kuwatahadharisha Watanzania kujiepusha kabisa na watu wanaotumia Neno la Mungu na mavazi ya viongozi wa Dini katika kuwarubuni wananchi na kujipatia ukwasi na utajiri.

Amesema wapo watu wanajiita viongozi wa Dini wanaukwasi mkubwa kupitia Dini,ambapo ukichunguza vizuri unaona hawahubiri na kumhubiri Yesu kristo,bali wanafanya kulitumia tu jina na neno la Mungu kujitajirisha na hawa utawajuwa kwa matendo yao.

Mwamba Mwenyewe Paul Makonda Ambaye siku zote amekuwa akimtumainia Mungu na kuwaheshimu sana viongozi wa Dini zote na wa Madhehebu yote, Amemmiminia sifa na pongezi Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Kuwa ni Mtumishi wa Mungu wa kweli na ambaye amekuwa akilihubiri neno la Mungu wakati wote Mwanzo mpaka mwisho wa mahubiri yake.

Na kwamba watu wote ni mashuhuda wa kazi njema na nzuri inayofanywa na Mtume huyo kwa watu . Mwamba Mwenyewe Paul Makonda anaendelea kujinyenyekeza na kujiweka mikononi Mwa Mungu Mwenyewe kiimani ,kwa kutambua kuwa huyo ndiye Mlinzi wake na ambaye anaendelea kumlinda ,kumtetea na kumpigania dhidi ya maadui zake wenye chuki binafsi na wivu tuView attachment 3101707

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
🚮
 
Back
Top Bottom