Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Yani hapa huyu mama mwaka 2025 kazi ya kufanya anayoo kubwa sanaaa...Kwa sasa jk..kamba weka kina nape wana hate kubwa sana na jamaa hatari sana sema may be kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
 
Makonda amepasua zaidi upinzani kuliko CCM. CCM huwa hawabadiliki Ila wanaangalia upepo ukoje. Samia aliwaaminisha wapinzani kuwa yeye na Magufuli ni tofauti, sabaya alifunguliwa kesi lakini mpaka Sasa yupo mtaani, makonda aliwekwa benchi leo karudishwa. Tuliwaambia maridhiano ni kiini macho matokeo yake wapinzani wamekaa kimya kuikosoa serikali kwa maridhiano ambayo hayatekelezwi.
Sema mama kapasua upinzani Makonda hana jeuri ya kupasua upinzani bila mkono wa ikulu, sasa ambebavyo mama tofauti na alivyobebwa na Magufuri. Hivyo tambua Makonda huyu si yule. Subiri utaona tofauti.
 
Kama kumleta Makonda ndiyo kuziba ufa wa Sukuma Gang basi hajafikiria vizuri. Nafuu angempa Luhaga Mpina uwaziri fulani angepata mileage kubwa kuliko huyu mtu mchafu.

Kama wewe ni mtaalamu wa social media. Angalia namna watu walivyo react ndiyo utajuwa kuwa Samia AMEBUGI Big time
Kampa Doto biteko akaona bado, anayesema now days hakuna ukanda, ukabila afikilie vizuri
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Mbona mwamba tuvushe alipaswa kuwa gerezani siku nyingi Ila anakamua mtaani tu
 
Screenshot_2023-10-26-10-05-06-1.png.jpg


Hii ina ukweli kama serikali imeshindwa kulipa mishahara ya watumishi hadi leo!! Si jambo la kawaida
 
...na rostam azizi ndiye anaye tumika kupanga safu mpya ya mama lengo ni kupunguza nguvu ya msoga gang maana mama awaaminiani sana na msoga kwa sasa tena waarabu walio nyuma ya samia gang wametilia mkazo sana jambo hili.kwa sababu waarabu wate wa ndani na nje wapo kwenye Samia gang.
Tulitahadharisha hii harufu tukatukanwa
 
Hii ndio Taarifa ya Gazeti la MwanaHalisi kama ilivyowekwa ukurasa wa mbele .

View attachment 2793283
Mimi ni mwana CCM, nasema bila unafikia kwamba katika teuzi za hovyo Samia amefanya huu wa Makonda umetia fora!
Makonda hana hadhi, uadilifu wala ueweledi wa kuwa Mwenezi wa CCM Taifa.
Ila waswahili wana msemo wao wa " Ndege wafananao huruka pamoja"!
CCM inalazimishwa kuwa Chama Cha Mazuzu !
 
Back
Top Bottom