Ushahidi upo mkuu sema kwa sheria zetu mashtaka ya jinai hufunguliwa na Jamhuri. Clip ya yeye kuvamia Clouds Media na silaha ipo kwenye mitandao. Vilevile tukio la Nape kutishiwa bunduki pale Protea na yule askari liko mitandaoni. Ujuwe kuwa na Makonda alikuwa palepale Protea akimuagiza yule askari kumtishia Nape.
Tundu Lissu akishambuliwa kwa risasi 16 Dodoma na Makonda again alikuwapo kwenye gari akitoa maelekezo.
Secretary Pompeo wakati wa Trump administration alitoa waraka unaomzuia Makonda kwenda USA kwa vile anadhulumu haki za watu wengine kuishi.
Kama ndugu
dr namugari huyajui haya, basi hizi page za Jukwaa la Siasa siyo size yako. Endelea kuwapo Jamii Chitchat na Celebriries
Utafika wakati Rais Samia atakuwa kamaliza kipindi chake, atakayekuja LAZIMA jamii ya Watanzania both CCM na Upinzani watataka ukweli na haki itendeke juu ya UFEDHULI wa Makonda