Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Yani hapa huyu mama mwaka 2025 kazi ya kufanya anayoo kubwa sanaaa...Kwa sasa jk..kamba weka kina nape wana hate kubwa sana na jamaa hatari sana sema may be kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
 
Sema mama kapasua upinzani Makonda hana jeuri ya kupasua upinzani bila mkono wa ikulu, sasa ambebavyo mama tofauti na alivyobebwa na Magufuri. Hivyo tambua Makonda huyu si yule. Subiri utaona tofauti.
 
Kampa Doto biteko akaona bado, anayesema now days hakuna ukanda, ukabila afikilie vizuri
 
Mbona mwamba tuvushe alipaswa kuwa gerezani siku nyingi Ila anakamua mtaani tu
 
Tulitahadharisha hii harufu tukatukanwa
 
Hii ndio Taarifa ya Gazeti la MwanaHalisi kama ilivyowekwa ukurasa wa mbele .

View attachment 2793283
Mimi ni mwana CCM, nasema bila unafikia kwamba katika teuzi za hovyo Samia amefanya huu wa Makonda umetia fora!
Makonda hana hadhi, uadilifu wala ueweledi wa kuwa Mwenezi wa CCM Taifa.
Ila waswahili wana msemo wao wa " Ndege wafananao huruka pamoja"!
CCM inalazimishwa kuwa Chama Cha Mazuzu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…