Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Umeiweka vizuri sana sanaRais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Ushahudi upo ila Tatzo Ni mtu mwenye chanel nyingi sanaJe Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
Lakini kwanini dr namugari avatar zako huwa zinatuweka majaribuni?Je Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
Nikate tamaa bado ni[o hai?Dada siku hizi naona umekata tamaa sana!
Wiki Ijayo Musiba anapewa cheo .Kampa Doto biteko akaona bado, anayesema now days hakuna ukanda, ukabila afikilie vizuri
Kwani alokutendea uovu gani?Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Acha roho mbaya ndugu. Una roho ya kichawi weweRais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Mkuu ama na wewe ulikua katika hio gari inayotoa maelekezoUshahidi upo mkuu sema kwa sheria zetu mashtaka ya jinai hufunguliwa na Jamhuri. Clip ya yeye kuvamia Clouds Media na silaha ipo kwenye mitandao. Vilevile tukio la Nape kutishiwa bunduki pale Protea na yule askari liko mitandaoni. Ujuwe kuwa na Makonda alikuwa palepale Protea akimuagiza yule askari kumtishia Nape.
Tundu Lissu akishambuliwa kwa risasi 16 Dodoma na Makonda again alikuwapo kwenye gari akitoa maelekezo.
Secretary Pompeo wakati wa Trump administration alitoa waraka unaomzuia Makonda kwenda USA kwa vile anadhulumu haki za watu wengine kuishi.
Kama ndugu dr namugari huyajui haya, basi hizi page za Jukwaa la Siasa siyo size yako. Endelea kuwapo Jamii Chitchat na Celebriries
Utafika wakati Rais Samia atakuwa kamaliza kipindi chake, atakayekuja LAZIMA jamii ya Watanzania both CCM na Upinzani watataka ukweli na haki itendeke juu ya UFEDHULI wa Makonda
Sasa atampeleka nani kwa sababu na wewe upo tu unabwabwaja kwa Id fake humu jf? Wewe ulikuwa ni mmoja kati ya wapi?, wauza madawa ya kulevya au mabasha na mashoga waliosababisha marekani izuie mskonda kwenda huko?Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Acha uongo wako wewe,au ni ujinga unakusumbua?,Ushahidi upo mkuu sema kwa sheria zetu mashtaka ya jinai hufunguliwa na Jamhuri. Clip ya yeye kuvamia Clouds Media na silaha ipo kwenye mitandao. Vilevile tukio la Nape kutishiwa bunduki pale Protea na yule askari liko mitandaoni. Ujuwe kuwa na Makonda alikuwa palepale Protea akimuagiza yule askari kumtishia Nape.
Tundu Lissu akishambuliwa kwa risasi 16 Dodoma na Makonda again alikuwapo kwenye gari akitoa maelekezo.
Secretary Pompeo wakati wa Trump administration alitoa waraka unaomzuia Makonda kwenda USA kwa vile anadhulumu haki za watu wengine kuishi.
Kama ndugu dr namugari huyajui haya, basi hizi page za Jukwaa la Siasa siyo size yako. Endelea kuwapo Jamii Chitchat na Celebriries
Utafika wakati Rais Samia atakuwa kamaliza kipindi chake, atakayekuja LAZIMA jamii ya Watanzania both CCM na Upinzani watataka ukweli na haki itendeke juu ya UFEDHULI wa Makonda
Hahahaha, dada CCM hainaga rafiki wala shukrani pole sana....Nikate tamaa bado ni[o hai?
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Ntaendelea kuwasomesha maana ya Reconciliation mpaka mtaielewa, jidsome hapa:Hahahaha, dada CCM hainaga rafiki wala shukrani pole sana....
Acheni kudandia vitu msivyoviweza....hizo R nne huko CCM hakuna anayeweza kuziishi achilia mbali kuzitafsiri.Ntaendelea kuwasomesha maana ya Reconciliation mpaka mtaielewa, jidsome hapa:
Falsafa ya R 4 za Rais Samia inakupa Mtanzania uhuru wako wa kweli
Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi". Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania...www.jamiiforums.com
RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla. R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...www.jamiiforums.com
HakikaAcheni kudandia vitu msivyoviweza....hizo R nne huko CCM hakuna anayeweza kuziishi achilia mbali kuzitafsiri.
Samia hana akili hiyo mwambieni atafute vitu vya size yake.