Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Ujui nini usemacho samia kajikologa sana kabla hata ya kumpa cheo mskonda tayari kulikuwa na mioasuko mitano 5 mibaya sana mpasuko wa kwanza kabisa ambao samia alianza nao kuutengeneza ni huu
1)samia and msoga gang vs sukuma gang
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
2)samia gang vs msoga gang.
3) samia zanzibar gang vs watanganyika 4)samia arabu gang vs wabantu
5)samia muslimu gang vs Christian
Mpasuko wa tano aliokuwa anautenganeza samia umeshindwa ni female gang vs male


Kwasasa samia anajalibu ana maadui hadi kwa msoga gang ambao mwanzoni walikuwa kitu kimoja kuwanyanyasa sukuma gang ...hivyo anacho kifanya samia ni kujaribu kutafuta marafiki wapya kutoka sukuma gang ili kuzuia nguvu ya msoga gang 2025 maana wamepoteza kuaminiana hivyo anatafuta baadhi ya maadui wa msoga gang na kujaribu kuwa weka upande wake wa samia gang ili kuvunja nguvu ya msoga wasije wakampiga 2025...na rostam azizi ndiye anaye tumika kupanga safu mpya ya mama lengo ni kupunguza nguvu ya msoga gang maana mama awaaminiani sana na msoga kwa sasa tena waarabu walio nyuma ya samia gang wametilia mkazo sana jambo hili.kwa sababu waarabu wate wa ndani na nje wapo kwenye Samia gang.

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Duh 🙄 ! Ngoja tuone huu mziki utaishaje !!
 
Ushahidi upo mkuu sema kwa sheria zetu mashtaka ya jinai hufunguliwa na Jamhuri. Clip ya yeye kuvamia Clouds Media na silaha ipo kwenye mitandao. Vilevile tukio la Nape kutishiwa bunduki pale Protea na yule askari liko mitandaoni. Ujuwe kuwa na Makonda alikuwa palepale Protea akimuagiza yule askari kumtishia Nape.

Tundu Lissu akishambuliwa kwa risasi 16 Dodoma na Makonda again alikuwapo kwenye gari akitoa maelekezo.

Secretary Pompeo wakati wa Trump administration alitoa waraka unaomzuia Makonda kwenda USA kwa vile anadhulumu haki za watu wengine kuishi.

Kama ndugu dr namugari huyajui haya, basi hizi page za Jukwaa la Siasa siyo size yako. Endelea kuwapo Jamii Chitchat na Celebriries

Utafika wakati Rais Samia atakuwa kamaliza kipindi chake, atakayekuja LAZIMA jamii ya Watanzania both CCM na Upinzani watataka ukweli na haki itendeke juu ya UFEDHULI wa Makonda
Kwamba wakati Yule asiyejulikana akimimina risasi DAB alikuwa ndani ya gari!
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Ukiulizwa maovu yapi utaanza kujambajamba tu hapa...
Hama nchi... makonda ni chuma...!
 
Kama kumleta Makonda ndiyo kuziba ufa wa Sukuma Gang basi hajafikiria vizuri. Nafuu angempa Luhaga Mpina uwaziri fulani angepata mileage kubwa kuliko huyu mtu mchafu.

Kama wewe ni mtaalamu wa social media. Angalia namna watu walivyo react ndiyo utajuwa kuwa Samia AMEBUGI Big time
Huo ni mwanzo tu tumia akili

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Kama hii ni kwel ni hatar kwa ccm!
Honestly speaking hakuna mtu mwenye nguvu huko ccm kama kinana huyu ndiye mkuu wao.

Mbona wakati wa Magu aliondoka na chama kiliendelea. Chama ni kikubwa kuliko mtu yoyote. Japo haya ya leo kuhusu Kinana vs ujio wa Makonda ni majungu ya wapinzani. Wanahofu sana na Makonda, sijui aliwafanya nini!! [emoji1787]
 
Mbona wakati wa Magu aliondoka na chama kiliendelea. Chama ni kikubwa kuliko mtu yoyote. Japo haya ya leo kuhusu Kinana vs ujio wa Makonda ni majungu ya wapinzani. Wanahofu sana na Makonda, sijui aliwafanya nini!! [emoji1787]
Chama kiliendelea kwasababu ya JPM(jembe kutoka chato)


NapitaKamaRadi
 
Anasema hayupo pale kumwonea mtu , sasa sijui yeye anajiona nani ndani ya nchi hii, ajifunze kwamba wapo waliokua na nguvu sana kuliko yeye na hawapo , mfano Membe n.k jamaa hana akili
Mtu aliitwa Zero Brain na kufoji vyeti kutoka Daud Bashite baada ya kupata F zote na kujiita Makonda atakuwaje na akili?
 
Kweli Mama anaupiga mwingi. Kwa uteuzi wa Makonda nimekubali sana. Hapa Dr Samia amecheza kama pele.. Na uDr leo nimeuelewa [emoji120].
 
Tumesoma gazeti lako la Leo Alhamisi October 28 mpaka November 01.

Umeandika
"Makonda Aipasua CCM!"
Ukweli ni kwamba wewe na Nape Nnauye hamtakaa mfurahie Mafanikio yoyote ya Makonda!

Tunajua jinsi Kundi la Nape na January lilivyokutumia wewe Said Kubenea kufungua kesi lukuki dhidi ya Makonda!

Tunajua jinsi ulivyofutwa machozi kwa kufunguliwa magazeti yako ya Mwanahalisi na Mawio!

Pia tunajua kwamba Kigogo unayemficha jina kwenye gazeti lako la Mwanahalisi kwamba amepinga uteuzi wa Makonda ni Nape Nnauye!

Sasa anatishia nyau kujiuzuru chama as if yeye ni ngome ya chama! Wakati tunajua Nape ni mojawapo ya wanasiasa wa CCM aliekalia kuti kavu jimboni kule anakowakilisha ilhali si mzaliwa wala mkuliaji wa hapo Mtama!

Nawashaurini enyi team roho mbaya mkae mtulie! Hatuipendi CCM ndiyo!
Lakini pia tunawachukia watu kariba ya Nape, Makamba,Kinana na team nzima iliyoko sambamba na maburushi kuifilisi nchi hii.

Lakini pia muelewe kwamba CCM ni taasisi ya wananchi ingawa kwa sasa imetekwa nyara.

Tuonane 2025 kwenye maamuzi magumu toka pande za Pwani ya Ziwa Magharibi. Polepole tutaheshimiana tu!
Inaonekana mpasuko upo dhahiri sasa !
Ngoja Tusubiri tuone. 🙏🙏🙏
Karma 🙏🙏 Au ???
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa" Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake

Maza naona ana akili very limited

Au niseme hana political strategies

She will be used and ran around in circles

Capacity ya ubongo wake naona inafikia limit somewhere
 
Back
Top Bottom