Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Mtu aliitwa Zero Brain na kufoji vyeti kutoka Daud Bashite baada ya kupata F zote na kujiita Makonda atakuwaje na akili?
Hupo sahii sana mkuu, ukisikia akili ndogo ongoza akili kubwa ndo hii, kwamba ccm sasa hawana tena akili kubwa , mbona hii chama bado ipo na watu wanaojitambua ,kama wamefika mwisho wa kufikiri naomba nibinafishiwe ichi chama na watanishukuru badae
 
Hii ndio Taarifa ya Gazeti la MwanaHalisi kama ilivyowekwa ukurasa wa mbele .

View attachment 2793283
Mwanga kaingia kundini.
One leo wale wasanii mmoja wao ametengua kama sio kuvunja uti wa mongoose!
Mungu ampe wepesi wa nafuu na kupona.
Halafu ujue walivyo WANGA angalia aliyechukua mic kuongea wakati wanambeba badala ya kusikitika anaita CCM hoyeee eti atakuwa Sawa ni changamoto za usanii!
What the he..l!
Mungu anawaona.
 
Mimi ni mwana CCM, nasema bila unafikia kwamba katika teuzi za hovyo Samia amefanya huu wa Makonda umetia fora!
Makonda hana hadhi, uadilifu wala ueweledi wa kuwa Mwenezi wa CCM Taifa.
Ila waswahili wana msemo wao wa " Ndege wafananao huruka pamoja"!
CCM inalazimishwa kuwa Chama Cha Mazuzu !
Ukweli ndiyo huo.
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCCM kupasuka na kufa kama kinyoonga wa KIJANI na manjano ndo tukio tunalokisubiri Kwa hamu.

Habari ya mjini ni maandamano ya Amani Novembre 2023.
Utabiri wa Mwalimu unakaribia !
Upinzani utatoka ndani humo humo
Mnara wa babeli hakuna maelewano !!
What goes around comes around kila ubaya utalipwa. !!
Ngoja tuone 🙏🙏🙏
 
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani hii imefanywa kwa makusudi ili kuwaumiza gang fulani linaloonekana kutaka kumzuwia Mwenyekiti kwenye kinyang’anyiro cha 2025 ! Hii ni calculated move sio bahati mbaya !!
 
Lumumba leo ilikuwa haifai. Sasa ndio tunaelekea majumbani kwetu. Tumefurahi sana kumuona ndugu yetu, mzalendo Mh Makonda.
 
Makonda ataipasua CHADEMA. Ujio wa Makonda umefanya Mbowe na wahuni wenzake wafute mikutano yao ya unafiki. Mabeberu waliokuwa wanawapa pesa kupinga mkataba wa bandari wameacha baada ya mkataba kusainiwa. Mbowe na genge lake wamebaki kuhaya haya tu
mpe mbowe heshima yake, yule ni mwenyekiti wa chadema taifa. Sawa na kusema samia na kenge lake la ccm kitu ambacho si heshima. Halafu chadema kama ilivyo si genge la wahuni those are smart people at all ways as ccm people. Uwe na heshima
 
Back
Top Bottom