Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Makonda ataipasua CHADEMA. Ujio wa Makonda umefanya Mbowe na wahuni wenzake wafute mikutano yao ya unafiki. Mabeberu waliokuwa wanawapa pesa kupinga mkataba wa bandari wameacha baada ya mkataba kusainiwa. Mbowe na genge lake wamebaki kuhaya haya tu
Labda apasue msambwanda wake na si Chadema.
 
Makonda ataipasua CHADEMA. Ujio wa Makonda umefanya Mbowe na wahuni wenzake wafute mikutano yao ya unafiki. Mabeberu waliokuwa wanawapa pesa kupinga mkataba wa bandari wameacha baada ya mkataba kusainiwa. Mbowe na genge lake wamebaki kuhaya haya tu
CCM bwana mkianza kujibizana tu lzm muitajetaje CHADEMA. CCM kama imefanya vema kumrudisha makonda basi hiyo inabaki ni furaha na shangwe ya wanaCCM wote na chama chao.CHADEMA inaingiaje humo.kila chama kipambane na maamuzi yake.
 
Sema mama kapasua upinzani Makonda hana jeuri ya kupasua upinzani bila mkono wa ikulu, sasa ambebavyo mama tofauti na alivyobebwa na Magufuri. Hivyo tambua Makonda huyu si yule. Subiri utaona tofauti.
Kabisa, huyo Makonda ni wale watu waovu wanaoweza kufanya uovu wakipata mazingira wezeshi. Magu alikuwa ni kiongozi muovu, hivya alitengeneza mazingira ya watu waovu kuwa kinga ya utawala wake.
 
Kumweka Pauli Makonda kwenye ofisi za chama ni tusi kwa watanzania.

Muda utasema watanzania bado hawajausahau uovu wake wakati wa JPM ila naamini laana ya Kumpiga Jaji warioba 2014 badi iko. Iko siku Pauli Makonda ataingia 18 na utakuwa mwisho wake umefika
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Anasema hayupo pale kumwonea mtu , sasa sijui yeye anajiona nani ndani ya nchi hii, ajifunze kwamba wapo waliokua na nguvu sana kuliko yeye na hawapo , mfano Membe n.k jamaa hana akili
 
Back
Top Bottom