Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Duh πŸ™„ ! Ngoja tuone huu mziki utaishaje !!
 
Kwamba wakati Yule asiyejulikana akimimina risasi DAB alikuwa ndani ya gari!
 
Ukiulizwa maovu yapi utaanza kujambajamba tu hapa...
Hama nchi... makonda ni chuma...!
 
Huo ni mwanzo tu tumia akili

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Kama hii ni kwel ni hatar kwa ccm!
Honestly speaking hakuna mtu mwenye nguvu huko ccm kama kinana huyu ndiye mkuu wao.

Mbona wakati wa Magu aliondoka na chama kiliendelea. Chama ni kikubwa kuliko mtu yoyote. Japo haya ya leo kuhusu Kinana vs ujio wa Makonda ni majungu ya wapinzani. Wanahofu sana na Makonda, sijui aliwafanya nini!! [emoji1787]
 
Mbona wakati wa Magu aliondoka na chama kiliendelea. Chama ni kikubwa kuliko mtu yoyote. Japo haya ya leo kuhusu Kinana vs ujio wa Makonda ni majungu ya wapinzani. Wanahofu sana na Makonda, sijui aliwafanya nini!! [emoji1787]
Chama kiliendelea kwasababu ya JPM(jembe kutoka chato)


NapitaKamaRadi
 
Anasema hayupo pale kumwonea mtu , sasa sijui yeye anajiona nani ndani ya nchi hii, ajifunze kwamba wapo waliokua na nguvu sana kuliko yeye na hawapo , mfano Membe n.k jamaa hana akili
Mtu aliitwa Zero Brain na kufoji vyeti kutoka Daud Bashite baada ya kupata F zote na kujiita Makonda atakuwaje na akili?
 
Kweli Mama anaupiga mwingi. Kwa uteuzi wa Makonda nimekubali sana. Hapa Dr Samia amecheza kama pele.. Na uDr leo nimeuelewa [emoji120].
 
Inaonekana mpasuko upo dhahiri sasa !
Ngoja Tusubiri tuone. πŸ™πŸ™πŸ™
Karma πŸ™πŸ™ Au ???
 

Maza naona ana akili very limited

Au niseme hana political strategies

She will be used and ran around in circles

Capacity ya ubongo wake naona inafikia limit somewhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…