Robato
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 383
- 233
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosea kuniambia mimi huo ushauri, sema wafuate ...Simameni kwenye katiba mliyoapa kuilinda, fuateni sheria kanuni na taratibu tulizojiwekea kama nchi, tuwe na level playing field kwa vyama vyote vya siasa kisha useme/uandike hayo uliyoandika. Siyo unamfunga mikono na miguu mshindani wako halafu unajisifu unajua kurusha ngumi.
Wanaudhalilisha.
Sio wanaudharirisha.
Samahani madam.
Hiyo pepo unaionyesha wewe !?Listing ya viongozi was dini makanjanja
1. Pengo
2. Askofu wa TEC anaitwa Nyamwisobgo
3.Gamanya
4 shekhe wa Dar
5. Askofu Malasusa
6. Ongezea
Hawa hawataiona pepo,
Huwezi kuwa Sheikh halafu uuwe mjinga !Kwani sisi hatuna akili mpaka waanze kutushawishi sijui ujinga gani, hawa mashekhe wajinga wajinga wanaudhalilisha uislamu
Uyu gamanya ni tapeli aliwatapeli vijana sijui anaanzisha mashamba watalima matokeo yake kaomba serekali ardhi then hao vijana hakuna walichopataListing ya viongozi was dini makanjanja
1. Pengo
2. Askofu wa TEC anaitwa Nyamwisobgo
3.Gamanya
4 shekhe wa Dar
5. Askofu Malasusa
6. Ongezea
Hawa hawataiona pepo,
+Mchungaji Lwakatarekakobe
Yaani Ni mnaafiki mnoooKwani sisi hatuna akili mpaka waanze kutushawishi sijui ujinga gani, hawa mashekhe wajinga wajinga wanaudhalilisha uislamu
Nguruwe haitaji kuchinjwa, huuliwa ! Jipange !Kesho kutwa machinjio ya kisasa ya nguruwe yakitangazwa kujengwa Dar, waislamu tutataka viongozi wetu wa BAKWATA watangaze pia kuunga mkono.
Dhamira ni kuunga mkono kila kinachofanywa na serikali ya awamu ya tano.
Mange aliambiwa mwaka jana ndio wa mwisho kwake kuwasema watu. Mpaka leo kimyaaa.Huku katoliki kule sheikh wa mkoa, hizi ndio taasisi mbili za kidini zikiongea watu wanatafutana.
Hizi double standard zinaiumbua sana SerikaliNilidhani viongozi wa dini hawapaswi kuingilia masuala ya serikali na siasa, lakini kumbe sikujua kwamba kama wanaisifia na kuiunga mkono serikali, basi hapo ni ruksa kwao, lakini kama wanaikosoa na hawaiungi mkono serikali, hapo ni marufuku kwa wao kujadili masuala ya siasa na serikali inabidi wabaki tu na masuala ya kiimani na dini zao. Sawa nimeelewa sasa.
Una maana alhad kampiga jini Mange?Mange aliambiwa mwaka jana ndio wa mwisho kwake kuwasema watu. Mpaka leo kimyaaa.
Sayansi isiyoonekana na kuweza kuelezeka kwa ufasaha.Una maana alhad kampiga jini Mange?
Ha haha wambie wamchokoze waone moto wa binti yule! Mie siungi mkono kauli zake za matusi kwa watu lakini kuna nyakati ananifurahisha kwa kuwa mkweli na anaweza kukomesha kiongozi yeyote mwenye tabia mbovu kwa kuchimba historia yake chafu na kumbamiza kisawasawa akaufyata.Mange aliambiwa mwaka jana ndio wa mwisho kwake kuwasema watu. Mpaka leo kimyaaa.
Naona katulia anapambana na majukumu yake binafsi.Ha haha wambie wamchokoze waone moto wa binti yule! Mie siungi mkono kauli zake za matusi kwa watu lakini kuna nyakati ananifurahisha kwa kuwa mkweli na anaweza kukomesha kiongozi yeyote mwenye tabia mbovu kwa kuchimba historia yake chafu na kumbamiza kisawasawa akaufyata.
Hebu waambie wamchokoze waone!
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi