Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
CHADEMA, ccm-Mpya safi kama malaika imechukua madaraka 2015Je miaka hiyo yote 50 nchi hii ilikuwa inaongozwa na chama gani?
acha kutukana wenzako, acha kabisa please. Ukitukana utatukanwa, crystal clear! Mjinga mama yako! Nimekwambia acha matusi! Mjnga ni mma yako aliyezaa jinga kama wewe!Hii sio habari nzuri kwa lile genge la wajinga wa taifa ,wao kulialia tu
Asante makonda kwa msumali huu
State agent
Find a place to hide your foolishness. Hv Makonda zimo kweli kwamba JPM ameingia madarakan ameķuta km 400s za lam hvyo yey kajenga km 800s what a joke. Kukubali ujïnga huu kusifia unahitaji kuwa mwendawazimuHii sio habari nzuri kwa lile genge la wajinga wa taifa ,wao kulialia tu
Asante makonda kwa msumali huu
State agent
Mnategemea nini kutoka kwa kilaza Makonda a.k.a Bashite? Matunda ya kufoji vyeti ndo hayo. Anachanganya takwimu. Akashughulikie tu mambo ya tezi dume!Je miaka hiyo yote 50 nchi hii ilikuwa inaongozwa na chama gani?
View attachment 1266006
John Stuart Mill aliwahi kusema ukizoea kujipendekeza sana unaweza kumtukana mtu unayejipendekeza kwake ukidhani umemsifia.
Dar - Mbeya 813 Kms.
Dar - Mwanza km 1114 Kms.
Mwanza - Musoma 222 Kms.
Dar - Mtwara 560 Kms.
Iringa - Dodoma Km 240
Dodoma - Arusha Km 432
Na nyingine nyingi zilizojengwa kabla ya JPM. Kimsingi utawala uliojenga barabara nyingi zaidi tangu uhuru ni utawala wa Kikwete. Alianzisha miradi mingi ya barabara hata alipoondoka aliacha mingine ikimaliziwa ambayo JPM alichofanya ni kuizindua tu.
Mwaka 2005 nilitoka Arusha kwenda Dodoma kwa basi, ilikua safari ya kutwa nzima kuzungukia Chalinze. Leo ukitoka Arusha asubuhi, saa 4 unakunywa chai Dodoma kwa kupitia Kondoa. Wananchi wa Iringa nao kwenda Dodoma walilazimika kuzunguka Morogoro. Lakini kwa sasa ni mwendo wa masaa machache kupitia Mtera. Unaweza kutoka Iringa kwenda Dodoma kufanya shopping na ukageuka tena Iringa siku hiyohiyo.
Tuache kujipendekeza. Lets give credit where credit is due. JK pamoja na madhaifu yake mengine lakini ndiye aliyeunganisha mtandao wa barabara nchini kuliko Marais wote waliomtangulia na hata huyu aliyemfuatia.
JPM ana yake aliyofanya lakini si kwenye barabara. Kwenye ndege apewe credit (regardless zinajiendesha kwa hasara). Kwenye reli apewe credit (japo ni mradi wa hasara). Lakini kwenye barabara NO THANK U. Hakuna nominal impact.
JK alitaka kuwa na mtandao wa barabara wa kuunganisha mikoa yote jirani. Akaanza Dom to Iringa (via Mtera), Arusha to Dom (via Kondoa), Singida to Tabora (via Itigi) etc.
Lakini ndoto hii ya JK imezimwa. Barabara ya Singida - Tabora ambayo JK alishajenga zaidi ya 250Kms, JPM ameshindwa kumalizia 80Kms tu zilizobakia. Kipande kinachounganisha Morogoro - Tanga JK alikijenga, but JPM kashindwa kumalizia 70Kms tu za Turiani - Handeni. Kipande cha Sikonge - Chunya kimetelekezwa, Njombe - Moro (via Lupembe) kimetelekezwa, Ifakara - Songea kimetelekezwa.
Leo tunaambiwa JPM ndio anaongoza kwa kujenga mtandao wa barabara? Labda hizi za Goba na Kinyerezi, ambazo hata hivyo zilijengwa na JK yeye kafanya kumalizia tu.!
Na G Malisa

Hehehehe ukijuwa kuita watu vilaza ukumbuke kusifiwa kaz zako hatakama niza za....Toba......
Leo dunia imevalishwa bikni juu ya taiti tena mchana kweupeeeeee