Wananchi wanataka kusikilizwa changamoto zao kisha zibebe kama kiongozi sitafutie ufumbuzi! Ni ajabu watu wanasema Makonda hana mamlaka yoyote ilihali JPM alifanya akiwa na Mamlaka wakawa wanakasirika! Hapa ndipo Mabepari utawajua kwa rangi zao!Kanuni ya kupendwa na wananchi ni kuwasikiliza na ikibidi kutatua kero zao.
Kama huwezi kufanya hivyo hakuna muujiza utakao fanya upendwe na wananchi.
Mhe. MAKONDA ameamua kuwasikiliza wananchi tumwache afanye kazi.
Tunapenda anachofanya kama kiongozi kusikiliza wananchi wake na kubeba changamoto zao kisha kuzishuhulikia. Ndiyo kiongozi tumtakae.Ni wananchi wajinga pekee ukiwemo mtoa mada ndiyo mnampenda huyo Bashite wenu.