mnafiki ni aliyekutuma.....wenye akili wameshatambua .....wewe ni mtu wa aina gani.....na hata uwezo wako wakufikiri uko ktk level gani,,,.......ndo maana hatusbishani nawajinga........kunawanaojitambua na kutulia....hao tunawaelimisha....kapumzike ukishakuwa ...rudi tutakupa shule ya bure yakujitambua na kuchambua mambo....all da best
ndugu unachanganya mambo.....kama sio kurukia uliyoyaelewa kijuujuu......MAMLAKA YA PENGO YAPO NDANI YA JIMBO LA DSM,,,,KWA TAARIFA YAKO HAKUSHIRIKI MAZUNGUMZO YA MWISHO YALIYOFANYIKA ARUSHA.....ALIPOLETEWA WARAKA ALIUSOMA na akaupongezwa kwa jinsi ulivyoandikwa vizuri,,,,,,na akaruhusu usomwe kwenye parokia na vigango vyote DSM.....ILA AKATOA MAONI YAKE BINAFSI,,,,,,,NA NAAMINI ANGEHUDHURIA KIKAO CHA MWISHO CHA ARUSHA ANGEYASEMA......SASA ALIPOKOSEA NIWAPI,,,,,,,HUJAWAHI SIKIA HATA RAIS ANASEMA KITU THEN ANAPENDEKEZA KITU KAMA JAKAYA BINAFSI NA SIO JAKAYA RAIS,,,,,,,,PENGO KATOA MAONI YAKE KAMA PENGO NA HAYO MAONI SIO MSIMAMO WA KANISA KATOLIKI KTK JAMBO HILO........MBONA MUMTUKANE,.......YAKILAINI HAYAHUSIKI KTK HILI
Paul Makonda huyu-huyu aliyemtandika makofi Jaji Warioba??
Hili tulipokee nalo kama lilivyokuja kwa sababu ni mwendelezo wa ombwe la uongozi wa juu wa nchi. hivi huyu DC wa wilaya hata akili yake kidogo sana aliyonayo hilo nalo ni jukumu lake? hata kova hivi jeshi la polisi limeanza kushughulikia kesi za defamation? au ni kutupotezea mwelekeo kwenye masuala ya msingi ? mwambieni Makonda ajaribu kufikiri kidogo anatudhalilisha vijana aaah pumbavu kabisa.
Si ameshaitwa polisi? Kwani huko polisi ameenda kufanya nini kama si kutolea ufafanuzi tuhuma hizo? Kwa mtindo huu mwenyekiti wa mtaa atamwita akatoe maelezo. mwenyekiti wa kata, diwani, mbunge, mkuu wa mkoa, meya, Takukuru, Sumatra, na hata JK naona kila mtu atamwita kwa wakati wake ofisini kwake akatoe maelezo.
Kwa mantiki hiyo basi Gwajima ataitwa pia na TISS,EWURA,TABOA,TCRA,SSRA,TBS, ili akatoe maelezo.
Ni karibia miaka miwili sasa tangu uliposema haya! Uliona mbali sana! Kumbe muda ni mwamuzi mzuri sanakuliko kuwa mwingi wa maneno bora kuwa kilema au kipofu ipo siku makonda atajutia mdomo wake kukosa breack:ballchain:
Ni karibia miaka miwili sasa tangu uliposema haya! Uliona mbali sana! Kumbe muda ni mwamuzi mzuri sana
Haahhaahah wa ukaridayo bana!aliona mbali wapi? acha uswahili bwana dalili za uchawi hizo
waswahili kwa kuunga unga bana
Gwajima hana vyeti kawafanya wote kuwa mazombie si wasomi, si wasio wasomi
Gwajima mhuni! kubali kataa
Mbona povu sasa? laana inamtafuna ndugu yakoaliona mbali wapi? acha uswahili bwana dalili za uchawi hizo
waswahili kwa kuunga unga bana
Gwajima hana vyeti kawafanya wote kuwa mazombie si wasomi, si wasio wasomi
Gwajima mhuni! kubali kataa
Mkuu nitake radhi uchawi siyo kitu kizuri !!!aliona mbali wapi? acha uswahili bwana dalili za uchawi hizo
waswahili kwa kuunga unga bana
Gwajima hana vyeti kawafanya wote kuwa mazombie si wasomi, si wasio wasomi
Gwajima mhuni! kubali kataa