Paul Makonda amtaka Gwajima afike ofisini kwake kutolea ufafanuzi juu ya kumkashifu Pengo


alichokosea pengo ni kilekile alichokosea kilaini,infwakti sio makosa ni makusudi,pengo kaulizwa waraka usomwe au usisomwe alishindwa nini kusema usisomwe?kama sio unafiki halafu baada ya kupewa za kichwa na gwajima ndio anaongea hayo matakataka,hamna kitu hapo kafeli kama kilaini.kilaini nae pesa za sadaka miaka 3 kanisa halijui kama kuna sadaka hata kununua spika na mic basi angalau waumini wakimwimbia bwana sound zitoke stereo hakuna,lahauraa salaree
 
Makondaaaaaaa!!hadi aibu! Mbona yeye kamtukana mzee lowassa matusi ya nguoni na hakuhojiwa na yeyote,yaani anatafuta sifa kijinga kabisa,hata huyo gwajima akienda nitamuona mwehu.
 
sasa nae anataa kuingiliaa uhulu au kazi za chombo kingine kama nii kosa kuna watu wanafanya hivyol huyu nae kichwa.uwa.kinapata motoo.saana
 
chizi makondo nae anataka nini?
si afadhali Gwajima anatuhumiwa kwa maneno makali dhidi ya mwingine kuliko huyu makonda kumpiga mzee wetu mheshimiwa sana Warioba?
.
 
Makonda hana authority ya kumuhoji Gwajima, au hajajua kazi anazotakiwa kufanya na mipaka yake?
 
hivi huu mvinyo wa madaraka mbona unalewesha haraka hivyo? Yaan huyu pongo hayo madaraka kapewa na nani kwenye ulimwengu huu? Daah! Ama kweli tz ni ajabu la kipekee kwa hii dunia
 
Mbona mi nimemtukana makonda. ....aniite ofisini kwake basi
 

Dc wangu Paul Makonda, nakupongeza kwa hili...!
 
Makonda kakonda kichwa alipopewa u-dc. Namshauri Gwajima asiende tuone game na movie itakayochezwa hapa
 
Dc hana kazi yoyote katika wilaya zaidi ya porojo tu.
Nini job description ya dc kama makonda?
 

ndugu unachanganya mambo.....kama sio kurukia uliyoyaelewa kijuujuu......MAMLAKA YA PENGO YAPO NDANI YA JIMBO LA DSM,,,,KWA TAARIFA YAKO HAKUSHIRIKI MAZUNGUMZO YA MWISHO YALIYOFANYIKA ARUSHA.....ALIPOLETEWA WARAKA ALIUSOMA na akaupongezwa kwa jinsi ulivyoandikwa vizuri,,,,,,na akaruhusu usomwe kwenye parokia na vigango vyote DSM.....ILA AKATOA MAONI YAKE BINAFSI,,,,,,,NA NAAMINI ANGEHUDHURIA KIKAO CHA MWISHO CHA ARUSHA ANGEYASEMA......SASA ALIPOKOSEA NIWAPI,,,,,,,HUJAWAHI SIKIA HATA RAIS ANASEMA KITU THEN ANAPENDEKEZA KITU KAMA JAKAYA BINAFSI NA SIO JAKAYA RAIS,,,,,,,,PENGO KATOA MAONI YAKE KAMA PENGO NA HAYO MAONI SIO MSIMAMO WA KANISA KATOLIKI KTK JAMBO HILO........MBONA MUMTUKANE,.......YAKILAINI HAYAHUSIKI KTK HILI
 
Makonda atakuwa anahitaji maombi tu Gwajima, hilo la Pengo ni janja yake tu si mnakumbuka hata wazee wake Sitta na Mwakyembe huombewa na Gwajima wawapo matatizoni!
 
hivi kuna sheria gan inayomtaka mtu kwenda kujieleza kwa mkuu wa wilaya kama anavyotaka makonda na kwani Gwajima asipoenda kutatokea nini?.Naomba mnaojua mnisaidie kwa hili tafadhali
Mkuu, haya ni mambo ya double standards huku mkuu wa wilaya huku polisi. si sheria zipo jamani na polisi wameanza tayari. Labda angekuwa kaanza yeye. Je, akikataa kwenda itakuwaje maana hajasema lini na saa ngapi.
 
Vip kaenda na mabaunsa wake?yaani wale jamaa anavyowapigisha mbio sijui anawalipa kiasi gani
 

yaani wewe sio mzima,alitakiwa aseme usisomwe! full stop khah! sasa hapo ndio umeandika nini,eti amelidhia usomwe lakini akatoa maoni yake, ndio huo unafiki, unaona watu wajingawajiga?kwenda na pengo wako wanafiki wakubwa
 
yaani wewe sio mzima,alitakiwa aseme usisomwe! Full stop khah! Sasa hapo ndio umeandika nini,eti amelidhia usomwe lakini akatoa maoni yake, ndio huo unafiki, unaona watu wajingawajiga?kwenda na pengo wako wanafiki wakubwa

kubishana na mtu ambaye hajitambui nikupoteza muda na rasilimali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…