Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

..Lissu angestahili lawama kama jeshi la Polisi lingemuita kutoa maelezo kuhusu tukio lake halafu akakataa.

..Kinachotokea sasa ni aibu kwa jeshi la Polisi. Kwamba wameweza kumhoji Lissu kuhusu mkutano wa Loliondo lakini wameshindwa kumhoji kuhusu shambulizi alilofanyiwa.

..Na kuna kipindi tulishuhudia Lissu akifika kituo kikuu cha Polisi Dodoma. Na alifika hapo baada ya mawasiliano na miadi na makamanda wa Polisi wa Dodoma.

..Binafsi sijashawishika na maelezo na mwenendo wa jeshi la Polisi kuhusiana na jaribio la kumuua Lissu.

Ameitwa mara ngapi na IGP wa wakati huo kutoa ushirikiano na akakataa? Kwamba huna kumbukumbu ama makusudi?

Kituo cha polisi Loliondo kinahoji yaliyotokea Loliondo na sio Dodoma. Unless kwa maelekezo maalum.

Alifika central police Dodoma kufuata gari yake na alipoombwa kutoa ushirikiano kabla ya kuchukua gari majibu yake juu ya hilo wengi Kama sio wote tunayakumbuka vizuri.

Niko na wewe kwenye hilo la kutokushawishika na mwenendo wa hii issue ya Lissu, tofauti yangu ni pande zote bado hazijakaa mstari mmoja ulionyooka kwenye hii dhahama.

Pande zote mbili (Lissu na Serikali) bado wanacheza kombolela kwenye hili.
 
Huyu mwandishi mjinga sana tena sana. Na tena inatakiwa ashughulikiwe tujue ana cheti halali cha uandishi. Wewe Lisu mwenyewe alishasema Dkt Magufuli alituma watu wakamuue halafu tena wewe mwandishi unaenda kumuuliza mtu mwingine ni akili kweli??!
toa uchawa wako hapa, Lisu alisema Magufuri alituma watu na Makonda akiwemo kama kiongozi wao. kumuuliza alikuwa sawasawa. Pia akija mtaani kwetu tutamuuliza. Nyie si mmegoma kulianzisha na policcm yenu, tutalianzisha huku mtaani
 
Ameitwa mara ngapi na IGP wa wakati huo kutoa ushirikiano na akakataa? Kwamba huna kumbukumbu ama makusudi?

Kituo cha polisi Loliondo kinahoji yaliyotokea Loliondo na sio Dodoma. Unless kwa maelekezo maalum.

Alifika central police Dodoma kufuata gari yake na alipoombwa kutoa ushirikiano kabla ya kuchukua gari majibu yake juu ya hilo wengi Kama sio wote tunayakumbuka vizuri.

Niko na wewe kwenye hilo la kutokushawishika na mwenendo wa hii issue ya Lissu, tofauti yangu ni pande zote bado hazijakaa mstari mmoja ulionyooka kwenye hii dhahama.

Pande zote mbili (Lissu na Serikali) bado wanacheza kombolela kwenye hili.

..IGP hajawahi kumuita Lissu kutoa ushirikiano kuhusu shambulizi lake.

..Hivi unafahamu kwamba kukataa wito wa Polisi kutoa ushahidi kuhusu tukio la kihalifu ni makosa na mhusika anaweza kushtakiwa?

..Kama Polisi wa Loliondo wameweza kumhoji Lissu, hivi inaleta mantiki Polisi wa Dodoma washindwe kumhoji?

..Kama waandishi wa habari wa kila aina wanaweza kumhoji Lissu, jeshi la Polisi halishindwi kufanya hivyo.

..Kwa maoni yangu jeshi la Polisi halina nia ya dhati kuwatia nguvuni waliomshambulia Lissu.
 
Yaani kuna watu wana akili za hovyo sana kudhani jibu la makonda ni sahihi.

Kwenye ulimwengu wa uandishi wa habari. Kuna kitu kinaitwa kubalance story.

Na hii story ya makonda huyo mwandishi akiamua kumkaanga makonda anaweza kuweka bonge la headline.

Mwandishi ataweka tuhuma dhidi ya makonda kama ilivyosema na Lissu.

Kisha atasema alipoulizwa Paul Makonda juu ya tuhuma hizo. Hakukanusha wala kuonesha kusikikitishwa zaidi alijibu "kamuulize mama Yako".

HIvyo mwandishi anaweza kusema mengi mabaya dhidi ya Makonda kwa sababu makonda alipewa nafasi kujibu hoja badala hata kuikana kwanza kisha kutoa maelezo mengi. Amekaa kimya na kutoa kejeli.

Ingekuwa mahakamani naamini unajua hakimu angefanya nini. Umesomewa shitaka badala ya kulikana kwanza, umeishia kutoa kejeli
Akane nini wakati ni kweli??? Anachojaribu kufanya ni kutisha watu/waandishi wa habri ili waogope kuzungumzia habari za maovu yake.
 
toa uchawa wako hapa, Lisu alisema Magufuri alituma watu na Makonda akiwemo kama kiongozi wao. kumuuliza alikuwa sawasawa. Pia akija mtaani kwetu tutamuuliza. Nyie si mmegoma kulianzisha na policcm yenu, tutalianzisha huku mtaani
Utaona kama kuna mtu atauliza tena huo ujinga. Serikali ikiamua kukua hata wewe leo inakuua na hakuna atakaye jua. Acheni propaganda za kijinga za mabeberu.
 
..IGP hajawahi kumuita Lissu kutoa ushirikiano kuhusu shambulizi lake.

..Hivi unafahamu kwamba kukataa wito wa Polisi kutoa ushahidi kuhusu tukio la kihalifu ni makosa na mhusika anaweza kushtakiwa?

..Kama Polisi wa Loliondo wameweza kumhoji Lissu, hivi inaleta mantiki Polisi wa Dodoma washindwe kumhoji?

..Kama waandishi wa habari wa kila aina wanaweza kumhoji Lissu, jeshi la Polisi halishindwi kufanya hivyo.

..Kwa maoni yangu jeshi la Polisi halina nia ya dhati kuwatia nguvuni waliomshambulia Lissu.

Msemaji wa Polisi (sina taarifa za kubadirishwa) David Misime aliwajibu waandishi wa Habari kuhusu Lissu kuitwa na IGP Mwaka jana tu hapo September.

IGP Sirro alisema pia wanamsubiri Lissu na dereva wake ili kukamilisha uchunguzi wao, ushahidi wa maneno yao upo utafute.

Ni nani kasema polisi Dodoma wameshindwa kumuhoji?

Alipoenda kufuata gari wakampa condition ya kutoa maelezo yake kwanza kuhusu tukio na kumpeleka dereva wake nae atoe maelezo, kwanini alikataa?
 
Utaona kama kuna mtu atauliza tena huo ujinga. Serikali ikiamua kukua hata wewe leo inakuua na hakuna atakaye jua. Acheni propaganda za kijinga za mabeberu.
Usitishe watu, kesi ya Lisu tutaiamsha huku mtaani kama mlifikili jinai inaoza weit.
 
Lissu si alisema ni JPM sshv ni Makonda😅 ila hlo jbu la Makonda hapana kwakweli🙌
Lisu hajakoea pahala, alisema ni Jpm na Makonda akihusika kusimamia utekerezaji/kuratibu akiwatumia wale jamaa alioenda nao Cloud, Hakutegemea swali hilo na alibanwa sawia
Ngoja aje kona yetu tutageuza shani lkn picha ile ile. mfano; Nini msimamo wa chama kuhusu kesi ya Lisu?
Umecheck twist hiyo yy si msemaji wa chama, sasa kama atajibu kamuulize mzazi au babu ni juu yake.
 
Back
Top Bottom