Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Huyo makonda kiboko yake ni Dr Luis Shika
 
We fala kweli..mtu kaandika dady is coming tu..una anza kulia lia hujajua hata ka maanisha nn.
 
Napata Ukakasi Kwa Kauli Aliyotoa Muheshimiwa Paulo Christian Makonda Mkuu Wa Mkoa wa Dar
Alimaanisha Dady Yupi!!! .LAZARO Nyalandu ,Tundu Lissu Or Jpm??
We Umemuelewaje ....!!!
 
Hii tabia ya Viongozi wa Kiserikali Kukurupuka hasa pale hukumu fulani inapotolewa Mahakamani ni Kielelezo tosha cha aina kubwa ya Unafiki uliomo ndani ya mioyo yao. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Napata Ukakasi Kwa Kauli Aliyotoa Muheshimiwa Paulo Christian Makonda Mkuu Wa Mkoa wa Dar
Alimaanisha Dady Yupi!!! .LAZARO Nyalandu ,Tundu Lissu Or Jpm??
We Umemuelewaje ....!!!
Daddy wewee ndio uendee
 
Yani kama kuna jambo Leo nimemshangaa Makonda ni hilo hivi kwa nini huwa wanakurupuka kupost vitu bila kufikiri kwa kina aiseeee!
 
Yani kama kuna jambo Leo nimemshangaa Makonda ni hilo hivi kwa nini huwa wanakurupuka kupost vitu bila kufikiri kwa kina aiseeee!
Inawezekana Kuna Mengi Tusiyoyajua
 
Wenye mtoto wanajijua kaka. Usikute mtu alibanwa na hisia hadi akashindwa kujizuia akajikuta kasema iliyokua siri
 
Kwa jina la baba...la mwana na la roho mtakatifu...
Nahisi anamzungumzia baba huyo wa kwa jina la baba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…