Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Wewe naona una shida na jina kitabala tu. Kwani ukiwa competent ndiyo kila kesi ushinde wewe?
 
Unatakiwa umuattack mtu,ndio tafsir yangu, lakin bado ii kesi inaukakasi, wanaoitafsir kua lulu ameua bila kukusudia wana underate sheria
Yaani wewe bush lawyer unataka kumfundisha kibatala def na conditions for kuua bila kukusudia, hebu pekua humu ndani kuna jamaa Jana kaweka sababu zinampelekea kusemwa kaua bila kukusudia kisha utafute hilo sharti la kumattack mtu kama lipo.
 
Unatakiwa umuattack mtu,ndio tafsir yangu, lakin bado ii kesi inaukakasi, wanaoitafsir kua lulu ameua bila kukusudia wana underate sheria
Mtu wa mwisho kua na marehemu kabla ya umauti ni LULU.

Marehemu kabla ya umauti alikua kalewa na anampiga Lulu....alipoulizwa alifanya nini baada ya kupigwa akasema hakufanya kitu...(kajikanganya maana busara na utashi wa kawaida vinakinzana yaani haiwezekani usifanye kitu).

Vitu hivyo hapo juu ndivyo vinaitwa ushahidi wa kimazingira...

Sasa unataka nini zaidi.!
 
Umaarufu upi? wa kuuza K? Au mimi sielewi maana ya umaarufu katika mila na destuli za kiafrika?
 

Ndo maana nikazungumzia incompetence apo, something is missing,... Uyu kibatara ajiangalie kuna kesi nying zitamshinda,kuna kitu kweny sheria technical win unatakiwa umtengenezee mazingira mteja wako kushinda,
 
Ndo maana nikazungumzia incompetence apo, something is missing,... Uyu kibatara ajiangalie kuna kesi nying zitamshinda,
Kibatara made it possible for Lulu to get away with it.... otherwise yule binti angepigwa mvua ya maana...kuepusha ajali ile ingekua ngumu..Sasa kibatara kakwepesha uso kwa uso ndio maana imegonga mti....
Na namuunga mkono mchangiaji hapo juu...wewe tatizo lako sio kesi na ushahidi wake, Ila tatizo lako ni Kibatara tu..
 
Sawa ila najaribu kulizungumzia hili in different angle than mine,nahuhakika hatuwez elewana ila iyo ni point yangu kua something is missing, japo ataenda jela lakin, sheria itatushinda
....be specific...what is missing..?.you seems to know...!
Maana tafsiri zetu humu hazijafua dafu kukuelewesha..tueleweshe wewe Kaka.
 
Dady is coming [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii nchi ina vituko sijapata kuona.
 
Ushakuwa Harvey spector, ifufue hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…