kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,875
Wewe naona una shida na jina kitabala tu. Kwani ukiwa competent ndiyo kila kesi ushinde wewe?Kuua bila kukusudia unatikiwa umuattack mtusasa LULU hakua hivyo, alikua mdogo weight ya kanumba na LULU hazina uwiano mdogo, how. @Kibatala kashindwa ii kesi ni kuonesha how incompetent he is, au anachukulia kesi kisiasa,
..Hata kama Kanumba alikua kalewa, bado itatafsiriwa kama self defense kwa sabab lulu alikua bado mdogo, yaan This case inanipa bells, Something is missing