Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Imenibd nicheke
 
Kwa aliyewai kusoma tamthiliya ya THE GOD FATHER ya muandishi Mario Puzo atakuwa amemuelewa vizuri muheshimiwa,tafsiri avumilie kidogo anaingilia kati na mambo yatakuwa mazuri.
Ni story about the MAFIA ambapo God father alikuwa ashindwi kitu
 

Mliosoma kutushinda / kutuzidi na mnaojua vizuri Kiingereza kuzidi sisi tunaojua sana Kiswahili naomba ufafanuzi wa hii Sentensi tu ili nami nione kama kuna haja ya kumtafuta Ras Simba au haraka au hapana. Sentensi yenyewe ni kama ilivyoandikwa hapo juu na nainukuu..." There is a room in every situation " tuachane na hiyo ya sijui Dady is coming ambayo nayo pia tutaitafutia mjadala wake baadae usiku kuanzia Saa 4 ' Kichwa ' changu kikishachangamka.
 
Mkuu ameandika makonda unalalamika

Mbona kibatala kasema anaenda kukata rufaa haujasema chochote

Au kisa makonda ni kundi Fulani
Na kibatala ni kundi lenu

Tujue kila mtu ananafasi ya kuzungumza anacho amini kitamsaidia yeye na si wengine
Mkuu hivi umekisoma kweli ulichokiandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…