Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
YaniMliosoma kutushinda / kutuzidi na mnaojua vizuri Kiingereza kuzidi sisi tunaojua sana Kiswahili naomba ufafanuzi wa hii Sentensi tu ili nami nione kama kuna haja ya kumtafuta Ras Simba au haraka au hapana. Sentensi yenyewe ni kama ilivyoandikwa hapo juu na nainukuu..." There is a room in every situation " tuachane na hiyo ya sijui Dady is coming ambayo nayo pia tutaitafutia mjadala wake baadae usiku kuanzia Saa 4 ' Kichwa ' changu kikishachangamka.
Imasemekana mama Kanumba KAFURAHI LEO mtoto wa mwanamke mwenzie kwenda jela, hili watu hawalioni.Mkuu ameandika makonda unalalamika
Mbona kibatala kasema anaenda kukata rufaa haujasema chochote
Au kisa makonda ni kundi Fulani
Na kibatala ni kundi lenu
Tujue kila mtu ananafasi ya kuzungumza anacho amini kitamsaidia yeye na si wengine
AU WAKAMUIBE WAKAMFICHE MAHALI MPAKA MIAKA MIWILI IPITEMaana yake Bashite anasubiri mkulu arudi ili amshauri amuachie Lulu!
Mkuu kuna wakati binadamu huwa hatujipi nafasi ya kutafakari kwanza tunakimbia kuhukumu au kufurahiImasemekana mama Kanumba KAFURAHI LEO mtoto wa mwanamke mwenzie kwenda jela, hili watu hawalioni.
Yaani KAFURAHI lulu ambaye alikuwa mtoto tukio likifanyika, tena kuna UWEZEKANO mwanae alibaka mtoto, NO OFFENSE, asingekufa miaka 30 ilikuwa inamuhusu.
Of course Daddy is coming,just buy the time n stay strong.Baada ya Michael Elizabeth maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram ameandika maneno haya kwenye picha ya Lulu aliyoambatanisha "Stay strong, dady is coming"
Kwanza najiuliza huyo dady ni nani? Pili Paul Makonda alistahili kwanza kuelewa kuwa hata mama yake marehemu Kanumba ana uchungu wa kumpoteza mwanaye kipenzi na kwa hakika Lulu alistahili hukumu.
Tufike mahali tuache kuweka mahaba kwenye kila jambo, mumeona mrembo amepata haki yake sasa mnaanza kulialia. Tuacheni kuweka mbele mahaba hadi kuzuia haki. Eti dady.....!
View attachment 630076
Kwani kasema anamtoa ?Japo namwonea huruma lulu lakini haitoleta picha nzuri makonda kuingilia hii kitu maana itashusha hadhi ya mahakama.
Bureaucracy siku hizi haieleweki yani mtu anaweza fanya lolote pasipo kujua mipaka yake
Watu ni mafyatu sana, chuki zao dhidi ya makonda zinawafanya wawe irrational kichwani.Kwani kasema anamtoa ?
Wapi kaingilia mahakama
Una ufahamu mfupi kama nukta wa hukumu ya maiaji.kama nimeelewa maana yake JpMpiana anaweza kumuachia huru tarehe 9 Disemba kwa masamaha
Nani kasema kuwa makonda atamtoa?Kwani kasema anamtoa ?
Wapi kaingilia mahakama
Kweli mkuuu ndoo maaana yakeMaana yake Bashite anasubiri mkulu arudi ili amshauri amuachie Lulu!
Sikukuu ya uhuru wa Tanganyika tarehe 9 December. Inaweza kumwachia mtu huru.Sikukuu gani ipo karibuni?