Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

safari hii wanwapa shida kweli hawa wasukuma wawili kufafanua kauli na matendo yao,mara utasikia alikuwa anatania,mara hivi mara vile..poleni sana inzi wa kijani
 
Huko mwanzo umekosea sana, huyo jamaa huwa hanaga plan kabisa wala huwa hawazi kwamba akifanya kitu fulani kita fire back. Kiufupi huyo jamaa ni class A Popoma.

He gives zerofuck kama ulivyosema kitu ambacho kinapelekea wengi wabashiri kuwa kuna uwezekano wa hicho kitu.

Hajali kabisa mambo yake huyu jamaa na sijui kama huwa ana washauri maana maamuzi yake ni ya kis3ng3 sana huyu mtu. Huyu inaonekana muda mwingine maamuzi ya mkulu anatoaga kwa bashite
 
_"Mtoto aliyekiuka protection ya wazazi, Mtoto aliyekua anaitwa “mke wangu” na anaitikia, Mtoto aliyeamua kuutumia muda wa usiku wa manane kutoka na marafiki na kupita kwa boyfriend wake; Sidhani watunzi wa sheria ya mtoto walikua wanamuongelea mtoto huyu Kama huyu atapewa lindo na sheria ya mtoto Basi wale watu wazima wenye tabia za kitoto ipo siku watajaa kwenye mahakama hizi na kudai lindo la sheria hiyo. Staki kufungua mlango huo."_

*Hon. Rumanyika J*


Nimemsoma sana Judge[emoji17][emoji17][emoji17]
 
Nimemuelewa sana jaji!
 
mama kanumba kaenda kaburini kwa marehem mwanae steven ..kumwambia apumzike kwa aman
 
Lulu lazma atetewe kwa nguvu zote na wenye akili, no mattter aliua au la alikuwa anajitetea asibakwe.....

Naungana na Makonda kumtetea Lulu, mtu asiye na hatia anafungwa miaka miwili... Shubamitty
Kwahiyo wewe hakimu mpaka umekuta ana hatia
 
Daddy yake lulu si majizzo for shizzo ataenda nae ndani kwa kesi ya unga
 
Reactions: Lee
Aiseeee yani kila nikisoma Comment zako Namuona Mange Kimambi.. Why why..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…