Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahavache kiviereNa Nape Angekuwa Kiongozi Kabla Ya Kuvuliwa Ah ah ah ah
Naona Mengi Tuuu Yangetendeka Tuuu
Kiviere Wa Usangi
safari hii wanwapa shida kweli hawa wasukuma wawili kufafanua kauli na matendo yao,mara utasikia alikuwa anatania,mara hivi mara vile..poleni sana inzi wa kijaniAcha ubwege we kijana na roho.mbaya dady yeyote ambaye anaweza kuwa baba kwa lulu na baba haimanish mapenz... Maana hata mwenyez mungu alisema ole wao wenye kuwaita wake zao kwa majna ya mama zao...(wanamwita mke mama au mume baba)
Okay acheni makonda andike anachojisikia mazal ajavunja sheria za nchi
Huko mwanzo umekosea sana, huyo jamaa huwa hanaga plan kabisa wala huwa hawazi kwamba akifanya kitu fulani kita fire back. Kiufupi huyo jamaa ni class A Popoma.Sio kweli,kwa sababu kubwa mbili: kwa wanaomjua Lulu watakucheka sana wakisikia eti kuna mkubwa inabidi atumie mzunguuuko woote kula ile papuchi iliyoenda mileage,kale katoto ni hela yako since kako 9 years old kanacheza kotekote,beki wa nyuma na mashambuliaji wa mbele,kana uzoefu mkubwa mno,more than a decade kuhudumia ma dusheeee hadi marehemu kepteni aliyefikia hatua ya kumnunulia corolla na kujenga nyumba tabata iliyoishia lenta na hiyo ilkuwa between 2009-2012
Pili,pamoja na kwamba reasoning ya watawala wa sasa ipo chini mno sidhani kama wanaweza kutumia kesi hii kuchukulia point za kisiasa wakati kanumba bado ana mashabiki wanao mmiss. kesi ya kuchukulia ujiko ni YA BABU SEYA TU na najua bashite atafanya yake pale
Kuhusu hiyo post ya bwana Daud albert,we mzoee tu kwani unaona hata dressing code zake?anapigiwa saluti na wanajeshi an mapolisi huku kaweka mikono mfukoni,anatembea na motorcade kubwa kuliko ya waziri mkuu,anagombana na wasanii club na kuamuru mziki uzimwe,he gives a zerofuck,yuko juu ya sheria na madharau kibaaaooooo.
Shame...if that is what it meansDad....is...coming meaning he(Makonda?) will be visiting Lulu there.
Ila hakana chura ya kuvutiaIla tuacheni utan jamani kalulu kameumbika asee....
Nimemuelewa sana jaji!_"Mtoto aliyekiuka protection ya wazazi, Mtoto aliyekua anaitwa “mke wangu” na anaitikia, Mtoto aliyeamua kuutumia muda wa usiku wa manane kutoka na marafiki na kupita kwa boyfriend wake; Sidhani watunzi wa sheria ya mtoto walikua wanamuongelea mtoto huyu Kama huyu atapewa lindo na sheria ya mtoto Basi wale watu wazima wenye tabia za kitoto ipo siku watajaa kwenye mahakama hizi na kudai lindo la sheria hiyo. Staki kufungua mlango huo."_
*Hon. Rumanyika J*
Nimemsoma sana Judge[emoji17][emoji17][emoji17]
Kwahiyo wewe hakimu mpaka umekuta ana hatiaLulu lazma atetewe kwa nguvu zote na wenye akili, no mattter aliua au la alikuwa anajitetea asibakwe.....
Naungana na Makonda kumtetea Lulu, mtu asiye na hatia anafungwa miaka miwili... Shubamitty
Ataruhusiwa kuingia na simu, hii ni nchi ya watu wawili!Sasa, Lulu ataionaje hiyo message ya Makonda na kujiandaa?
Na wadau hawatakuwa na huruma na Lulu tenaMnakonda aaache ujingaa... Ataingiza mahakama kwenye bifu lake then itamcost Lulu
Aiseeee yani kila nikisoma Comment zako Namuona Mange Kimambi.. Why why..Sio kweli,kwa sababu kubwa mbili: kwa wanaomjua Lulu watakucheka sana wakisikia eti kuna mkubwa inabidi atumie mzunguuuko woote kula ile papuchi iliyoenda mileage,kale katoto ni hela yako since kako 9 years old kanacheza kotekote,beki wa nyuma na mashambuliaji wa mbele,kana uzoefu mkubwa mno,more than a decade kuhudumia ma dusheeee hadi marehemu kepteni aliyefikia hatua ya kumnunulia corolla na kujenga nyumba tabata iliyoishia lenta na hiyo ilkuwa between 2009-2012
Pili,pamoja na kwamba reasoning ya watawala wa sasa ipo chini mno sidhani kama wanaweza kutumia kesi hii kuchukulia point za kisiasa wakati kanumba bado ana mashabiki wanao mmiss. kesi ya kuchukulia ujiko ni YA BABU SEYA TU na najua bashite atafanya yake pale
Kuhusu hiyo post ya bwana Daud albert,we mzoee tu kwani unaona hata dressing code zake?anapigiwa saluti na wanajeshi an mapolisi huku kaweka mikono mfukoni,anatembea na motorcade kubwa kuliko ya waziri mkuu,anagombana na wasanii club na kuamuru mziki uzimwe,he gives a zerofuck,yuko juu ya sheria na madharau kibaaaooooo.