Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Sawahata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
Umejibu kwa ukali.Ni kama umeshiba sana mapera kuliko uwezo wa tumbo lako!hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
sawa, umemaliza?Umejibu kwa ukali.Ni kama umeshiba sana mapera kuliko uwezo wa tumbo lako!
Ushashiba ugali wa daku hata uwezo wa kuandika maneno yanayosomeka hauna.hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
Nimemuelekeza mwenyekiti wa kijiji afanye mpango ujengewe choo chako binafsi cha shimo.sawa, umemaliza?
Anatafuta ubunge Jimbo la Arusha MjiniHuyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Hatopata ubunge this guy is cursed by God him selfAnatafuta ubunge Jimbo la Arusha Mjini
kwa hyo ndo umemaliza hvo?Nimemuelekeza mwenyekiti wa kijiji afanye mpango ujengewe choo chako binafsi cha shimo.
sawa, umemaliza?Ushashiba ugali wa daku hata uwezo wa kuandika maneno yanayosomeka hauna.
..."is cursed"...or he is a curse to the society?Hatopata ubunge this guy is cursed by God him self
Badosawa, umemaliza?
A √..."is cursed"...or he is a curse to the society?
Endelea basi.Bado
kwa hyo ndo umemaliza hvo?
Shtuka wewe!Utajiunga bundle la wiki.Kuvimbiwa siyo mchezo.sawa, umemaliza?