Paul Makonda ana miaka 53 ila nashangaa anavyosema kazaliwa 1982!

Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Kusoma wote, kuajiriwa wote sio kigezo cha kuwa na umri sawa. Wapo niliomaliza nao shule wakati huo wakiwa na umri wa 20+ wakati huo mimi hata 15 nilikuwa sijafika
 
Mnaweza soma pamoja... Na msilingane umri.... Tena Kwa zamani hali hiyo ilikuwepo sana....wengine walikuwa wanachelewa kuanzia shule...wengine wanarudia shule na madarasa.....Makonda huyo huyo amesoma na dada yangu alizaliwa 1982..
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Unashangaa nini, jina analotumia tu si lake......hii serikali ya Mama Abdul ni majanga tupu
 
Kusoma pamoja haimaanishi mnalingana umri kuna wengine waliongezewa na wazazi mwaka ili wawe shule mapema
 
Kusoma wote, kuajiriwa wote sio kigezo cha kuwa na umri sawa. Wapo niliomaliza nao shule wakati huo wakiwa na umri wa 20+ wakati huo mimi hata 15 nilikuwa sijafika
Mkisoma shule pamoja hasa za chini hizi ni rahisi kujua mwaka sema inategemeana ulipokua unasoma ulikua na umri gani ili pia ujue vitu vingine tofauti na vitabu vya Juma na Roza...
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Kwani Majaliwa ana miaka mingapi? ni kawaida kwa CCM kufoji umri
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Kasoma na Kaka yako Kwa Jina gani
 
Back
Top Bottom