Hata sio chadema ,huyo jamaa ni mrisho gamboNdiyo ujinga wa macdm wanalalamika kwa vitu visivyo na msingi umri wa mtu kupunguzwa unakuathiri nini hasa??
japo me ni cdm uliyetunanga na kujaribu kututweza, ila kwa kwel sijaona kama hili la kupunguza umri lina umuhimu wa kutazamwaNdiyo ujinga wa macdm wanalalamika kwa vitu visivyo na msingi umri wa mtu kupunguzwa unakuathiri nini hasa??
Sema wamesoma lini na wapi?Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Nakubaliana na wewe .......Kwa sisi tuliozaliwa 1980s kushuka chini ni kitu cha kawaida maana wengi baada ya Kufeli Darasa la SABA tulibadilisha majina na kurudia Darasa la 5 aula 6 (Maalufu kama KUKALILI")...Ila naomba uniambie JIna lake wakati huo alikuwa anaitwa Paul Makoda au Albert Bashite?. Baada wakati wa Lle Dubwana ...kulikuwa na Vita katia ya JASUSI la Mbinguni na BASHITEHuyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
acha upotoshaji gentleman,Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Kwani hilo ndio jina lake halisi?Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Siyo moja kwa moja mtu kusoma darasa moja muwe mmelingana umri.Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Kule usukumani kudanganya umri ni kawaida Sana🤣🤣Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Kazowea kudanganya hakuna sheria inamwadabisha. Je si huyu ndiye Daud Bashite?Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Ivi ukisoma na mtu means mnalingana umri?Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Halafu wajilinganishe maendeleo..hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
Wema bado mdogo sanaUnavyoona akili za Bashite na Wema Sepetu zina tofauti gani?