Paul Makonda ana miaka 53 ila nashangaa anavyosema kazaliwa 1982!

Paul Makonda ana miaka 53 ila nashangaa anavyosema kazaliwa 1982!

Inamhusu, inanihusu, inakuhusu wewe na inamhusu kila mmoja wetu kwa sbb huyu bwana ni kiongozi wa umma ktk nafasi mbalimbali na sasa anataka ubunge....

Kiongozi wa umma kuwa mwongo na mdanganyifu, hafai kushika ofisi ya umma...!!

Na Paul Makonda hajadanganya umri wake tu, hata cheti cha kidato cha nne sio chake (ilishathibitishwa hivyo na Askofu na Mch Josephat Gwajima) ambao wote wanatoka kijiji kimoja cha Kolomije, Misungwi - Mwanza..

Ukienda kijijini kwao kwa watu waliozaliwa na kukua naye, jina lake halisi ni Albert Bashite Malyangili. Hili la Paul Christian Makonda si lake, alinunua cheti cha form Four na kuendelea kukitumia hadi hapo alipo...

Ukiwa na viongozi wa umma laghai, mwongo na wezi wa aina ya Makonda na Mwigulu Nchemba, wakawa kwenye ofisi za umma, basi kwa hakika kabisa taifa na rasrimali za umma haziwezi kuwa salama...!!

Kwa inatuhusu sana tu..
Gazet la nn sasa? umemaliza?
 
Gazet la nn sasa? umemaliza?
Ili uelewe...

Unaita gazeti kwa sababu inaelekea wewe na kusoma vitabu ili upate maarufa ni maji na mafuta, ndio maana hujui hata sifa za kiongozi bora wa umma..!

Mimi husoma vitabu hata vya page 5,000 mpaka 10,000 na namaliza...

Maarifa yamefichwa kwenye maandishi. Ukiwa mvivu wa kusoma, utakuwa mjinga maisha yako yote kama tu wewe ulivyo sasa..!

Pole sana..
 
  • Thanks
Reactions: EEX

sasa kama mm mvivu wa kusoma, nimesomaje hl gazet lako, halafu mkuu mbona tunaanza kutwezana utu, kuna sehemu nimekubagaza miye?
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Muacheni apumzike kaka wa watu..
 
Makonda amemaliza shule ya msingi Nyanza, wilaya ya Nyamagana, mwaka 1997, so, kusema amezaliwa 1982 naona yuko sahihi kabisa, swala la kuwa na miaka 53 sio kweli.
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Ana Hitachi za mafuta ( depos ) kule kigamboni. Anashirikiana na kina farouk. Prsa kapata wapi huyu?
 
Mpuuzi bashite hana miaka 50 kajamaa ni kajinga sana na huko Arusha katoswe tu
 
Akagombee kwao huko usukumani kolomije mwanza.

Mkataa kwao mtumwa!
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Kwahiyo unataka na kaka yako apunguze? au shida yako n
ini?
 
Back
Top Bottom