Akikosa,ubunge,safari hii uchaguzi ujao atakuwa na 58Kama ndivyo Makonda hana kosa 2025-1982 ni miaka 43 sio 50.
Akikosa wewe unaumia nini?Akikosa,ubunge,safari hii uchaguzi ujao atakuwa na 58
😂😂😂..... dah ila humu kuna watu wakorofi sanaMheshimiwa Gambo habari yako?
Mimi namuombea,apateAkikosa wewe unaumia nini?
na akipata uchaguzi ujao atakua na mingapi?Akikosa,ubunge,safari hii uchaguzi ujao atakuwa na 58
Mbona umejibu kwa hasira sana mdau au nae Makonda ni kakako?hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
Kha! kaka yk alisoma akiwa mzee sana alikuwa anawanyonya hewa watoto wa 80..Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Chawa wake UMECHEFUKWA!hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
hata sijawai muona live mkuuMbona umejibu kwa hasira sana mdau au nae Makonda ni kakako?
una jingine?Chawa wake UMECHEFUKWA!
Huyo ovyo.Anatafuta ubunge Jimbo la Arusha Mjini
Mwenye miaka 53 ni Daudi Albert Bashite, Paul Christian Makonda ana miaka 43.Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Level yake ya uongozi ni UDC basi
Tuwe wakweli hivi akili yako na ya makonda ni ipi iko juu ya nyingine?haya wewe mwenye akili na hujafojifoji unamzidi nini makonda??Huyu jamaa vitu vyake vyake kufoji foji tupu ndio maana akili yake imeishia kwenye uchawa....hazimo. akawii kulia mkiendelea kumdai vyeti
LeveKuna Ramli kumhusu,eti atakiokoa chama October!!mtakubali!!?
Huo ndiyo ukweli kwani makonda kapunguza miaka yake au ya kwako?mijitu mingine ni -0%Mbona umejibu kwa hasira sana mdau au nae Makonda ni kakako?