Level yake ya uongozi ni UDC basiAnafoji miaka
Anafoji vyeti
Level yake ya uongozi ni UDC basiAnafoji miaka
Anafoji vyeti
Tuaminije maneno yako!!!!Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Makonda kwa kumuangalia hakosi 50+Mimi niliposikia anasema kazaliwa 82 nilishangaa Sana .Zamani kuna watu walianza la.kwanza na miaka 15 wakati kuna walioanza na 7.
Hata kwa kujuangalia tu, hawezi kuwa na miaka 53.
Sugu is way older, waala huhitaji vipimo kuangalia, Makonda 40-45 hapo.Makonda kwa kumuangalia hakosi 50+Mimi niliposikia anasema kazaliwa 82 nilishangaa Sana .
Mtazame sugu na makonda uone Kama kuna utofauti wa sura
Huenda kaka yako alichelewa kuanza shule ndio maana akawa classmate wa MakondaHuyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Jambo usilolijua....Hatopata ubunge this guy is cursed by God him self
Ukifoji kimojawapo kati ya cheti au mwaka lazima ufoji vyote.Anafoji miaka
Anafoji vyeti
Makonda wakati anamtandika Warioba alikuwa dogo tena mshamba flani bivi.Sugu is way older, waala huhitaji vipimo kuangalia, Makonda 40-45 hapo.
mkuu acha kukosoa uumbaji wa Allah, hakuchagua kuwa na hayo makubwa uliyoyataja, amepewa bure,Labda ukubwa wa matako na kiburi, tunafahamu ni litoto dogo lililokulia kambini Tabora, likaenda Mwanza likajikuta Dar linapanga mafile kwenye ofisi ya mzee Sitta.
Ni kweli ulichosema au ni sarcasmAnafoji miaka
Anafoji vyeti
Vipi ile baiskeli ya tunatiki umepata?hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
Duh!Hatopata ubunge this guy is cursed by God him self
Daaa mbaya sana,kwahiyo jamaa amewadhulumu watoto wake kuitwa jina lao la ukoo la Bashite?Nakubaliana na wewe .......Kwa sisi tuliozaliwa 1980s kushuka chini ni kitu cha kawaida maana wengi baada ya Kufeli Darasa la SABA tulibadilisha majina na kurudia Darasa la 5 aula 6 (Maalufu kama KUKALILI")...Ila naomba uniambie JIna lake wakati huo alikuwa anaitwa Paul Makoda au Albert Bashite?. Baada wakati wa Lle Dubwana ...kulikuwa na Vita katia ya JASUSI la Mbinguni na BASHITE
Inamhusu, inanihusu, inakuhusu wewe na inamhusu kila mmoja wetu kwa sbb huyu bwana ni kiongozi wa umma ktk nafasi mbalimbali na sasa anataka ubunge....hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.