Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Nawewe si usifu na kuabudu kwa njia yako? Mbona wanaCCM mnaoneana Wivu? Wewe hutaki Arusha iwe zaidi ya Dubai?
 
yaan mabadiliko yanafanyika ndani ya ccm na serikali yake, vibration na mayowe yanaskika kwa majirani...

ni vizuri ikafahamika wazi, kwamba huo ni mwanzo tu wa mabadiliko mengine mengi katika kuimarisha utendaji kazi wa chama na serikali....

ni lazima Tz ipige hatua ya kimaendeleo kwa haraka na waTZ wafurahie kazi na matunda ya mipango na jitihada za serikali yao sikivu katika kuwaletea maendeleo kijamii, kisiasa, kiuchumi n.k........

na bado...
 
Huyu Jamaa anatia kinyaa aisee!!!
 
Nyumbu wa mtaa wa ufipa wamechanganyikiwa ,maana wanageuzwa kila siku hawaelewi washuke nini na waache nini. Mama yetu na Rais wetu kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.maana anawapa Raha watanzania mpaka wanatamani uchaguzi uwe kesho ili wampe kura za ndio kwa kishindo.

Lema atafute kazi halali ya kufanya kwa sasa maana Mwamba Mwenyewe Makonda hanaga mchezo mchezo.
 
Mwenzio katupiwa vilago ccm wewe unacheka !
Kweli wewe huelewi kitu chochote kile na ndio maana mmekuwa mkipuuzwa na watanzania katika kila uchaguzi unaofanyika . Endelea kukaa kwa kutulia uone moto wa maendeleo unaokwenda kuwaka mkoani Arusha.

Mwambie pia Lema kwa sasa atafute kazi halali ya kufanya na kuachana na ile kazi yake ya awali kabla hajaingia kwenye ubunge .lakini pia afute kabisa wazo la kupata ubunge ndani ya Arusha na mahali popote pale katika ardhi ya Tanzania.
 
Uandishi huu wa kichawa hakika binafsi sijaupenda. Ningefurahi zaidi sabaya pia angerejeshwa ulingoni kuwahudumia watanzania kwani wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi wanamuhitaji.
 
Ninachohofia ni jamaa asije akaanza kuwaomba omba hela watalii akachafua image ya nchi.
Maana record yake ya kuomba omba hela kwa matajiri na kuwanyan'ganya vitu vyao inafahamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…