Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hakika Arusha inakwenda kukimbia mchaka mchaka wa maendeleo
Lema huko aliko kwa sasa itakuwa anabubujikwaa machozi yasiyokatika,maana anajuwa ndio mwisho wa janja janja zake.JINAMIzi la Dr LEMA limewakalia
Usimuite Lucas muite Lucas Washngton Mwashamba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila Lucas ungepewa hata utendaji wa kata, unajitahidi sana
Nawewe si usifu na kuabudu kwa njia yako? Mbona wanaCCM mnaoneana Wivu? Wewe hutaki Arusha iwe zaidi ya Dubai?Mwanangu sasa unazingua. Hata kama ni kusifu unapitiliza. Hata uliyemsifu atashangaa sana akisoma hapa. Kwa mwenye akili ataona huu uzi umejaa unafiki uliotukuka. Taratibu bro. Pia fuatilia siasa za CCM kwa undani ili ujue wakati wa kuongea na kunyamaza. Pia wewe sio wa Arusha acha kutusemea tuliozaliwa na kukulia Arusha. Mkoa na nchi kwa ujumla inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na sio matamko ya mtu mmoja. Mwisho kabisa kama una ndoto yoyote ya kufika mbali kisiasa badilisha mbinu... hii ya kusifu namna hii haipendwi na watoa maamuzi. Kila siku wanalaumiwa mno na wananchi kwahiyo hawawezi teua mtu anayesifu tu bila kujenga hoja madhubuti.
yaan mabadiliko yanafanyika ndani ya ccm na serikali yake, vibration na mayowe yanaskika kwa majirani...Ndugu zangu Watanzania,
Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya mabadiliko mbalimbali ndani ya serikali yake imara na shupavu kwa kuwahamisha viongozi mbalimbali pamoja na kufanya uteuzi mpya.
Ambapo ni katika mabadiliko hayo yaliyoshuhudia Dunia ikitetemeka kama sumaku iliyokaribu na chuma au mtu aliyemwagiwa maji ya baridi sana wakati ni mgonjwa. Hii ni baada ya jina la Mwamba Mwenyewe,kijana jasiri kutoka kusini mwa jangwa la sahara na jabala la Siasa Mheshimiwa Paul Christian Makonda akipangiwa na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais kwenda kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.
kwa hakika wana Arusha wamepata jembe,wamepata kiongozi mchapa kazi,wamepata kiongozi jasiri ,shupavu,imara, madhubuti,hodari na asiye yumba wala kuyumbishwa.kiongozi mwenye misimamo thabiti na mwenye maono.wana Arusha wamependelewa na kupewa upendeleo wa kipekee sana.Ni bahati kwao kubwa sana kupelekewa Mheshimiwa Makonda mkoani kwao.
Kwa sababu ni mwisho wa watumishi wazembe,wavivu,wanaofanya kazi kwa mazoea,ni mwisho wa watumishi wadokozi kutoka halmashauri za jiji la Arusha,ni mwisho wa watumishi goigoi katika kuwahudumia wananchi,ni mwisho wa ubadhirifu wa pesa za umma,ni mwisho wa vilio vya wananchi wasiosikilizwa,ni mwisho kwa watumishi waliokuwa wamejisahau,ni mwisho kwa watumishi wa umma wanaofanya ofisi za umma kama mali zao binafsi na miungu watu,ni mwisho wa watumishi wenye viburi ,jeuri na majivuno .kwasababu anakuja Mwamba Mwenyewe ,jabali la majabali ,jeuri wa majeuri ,jasiri asiye na mfano .ni lazima MOTO wa maendeleo uwake Arusha kama nyota ya asubuhi.
Lakini ni mwanzo wa Arusha kupaa kimaendeleo kama ndege vita,ni mwanzo wa Arusha kushuhudia mafuriko na kumiminika kwa watalii katika jiji la Arusha,ni mwanzo wa kuona Arusha ikiongoza kwa mapato ya ndani,ni mwanzo wa kuona halmashauri za jiji la Arusha zikifanya vizuri kwa mambo mengi, ni mwanzo wa kuona jiji la Arusha likigonga vichwa vya habari katika Tv na magazeti kutoka ndani ya CNN marekani ,BBC uingereza,aljazira na vyombo vyote vikubwa Duniani.Ni mwanzo wakuona waandishi wote na vyombo vyote vya habari vya kimataifa vikiweka kambi mkoani Arusha ili kujifunza uongozi wa kusimamia maendeleo kutoka kwa Mwamba Paul Makonda.
Ni mwanzo wa kuona jiji la Arusha likiwa maarufu kupita hata majiji kama Washington DC Marekani au Paris Ufaransa au DUBAI au London uingereza au Vatican Italy au Amsterdam Uholanzi au Tokyo Japan au Jerusalem islael au Berlin ujeruman. Arusha inakwenda kuwa katika uso wa ulimwengu ,Arusha inakwenda kuwa katika vinywa na chaguo nambali moja la watalii, wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa kutoka kila kona ya Dunia.
Hii ni kwa kuwa Arusha inakwenda kuwa katika mikono salama ya Mheshimiwa Paul Makonda, kiongozi mchapa kazi na kiongozi Mbunifu sana na anayehitaji kuona matokeo yanapatikana kwa wakati.hapa kama nawaona vile watumishi mbalimbali katika jiji la Arusha wanavyotetemeka kama wagonjwa wa homa kali ,hasa wale wazembe ,hapa ni kama nawaona wanawanchi wa Arusha walivyolipuka kwa furaha baada ya kusikia uteuzi wa Mheshimiwa Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.
Mheshimiwa Makonda ulipewa imani na heshima ya kipekee kutoka kwa Rais wetu mpendwa ya wewe kuwa mwenezi wa chama na kwa hakika uliitendea haki nafasi hiyo japo ni kwa muda mfupi ,lakini umeacha historia na alama ya kipekee kabisa.umeacha na kukiweka chama midomoni mwao Watanzania,umekiacha chama kikiwa imara na mtetezi wa watanzania wanyonge na wasio na sauti,umekiacha chama kikiendelea kuwa tumaini na kimbilio la watanzania ,umekiacha chama salama na kwa hakika Watanzania watakukumbuka sana katika uongozi wako ndani ya chama.kwa hakika wanaccm tunasema asante Mheshimiwa Makonda kwa kazi kubwa uliyoifanya na namna ulivyojitolea kwa jasho kukipigania chama chetu.
Huna deni katika chama kwasababu ulitimiza wajibu wako kama kiongozi wetu ,umetufundisha mengi sisi wanachama wa CCM Nchi nzima, umetufundisha ujasiri na kutuonyesha nafasi ya chama katika kuisimamia serikali yake na kuwasemea watanzania,uliwaamsha viongozi waliokuwa wamelala maofisini na wakaanza kutoka kwenda kuwasikiliza wananchi.umekaa muda mfupi lakini matendo na kazi yako imekuwa ni kama umekaa karne nzima ndani ya CCM. Haijalishi umekaa muda gani lakini alama zako zitadumu daima na kubaki kama mfano wa kuigwa wa utumishi uliotukuka ndani ya chama chetu.
Nenda kamsaidie mama yetu na Rais wetu mpendwa Mama Samia Katika mkoa wa Arusha.usimuangushe katika imani hii kubwa ambayo ameendelea kukupatia.nenda kashirikiane na wote utakao wakuta,waheshimu wote,wapende wote,wathamini wote na watendee haki wote bila kujali hali zao za kiuchumi na hata itikadi za kisiasa kwa kuwa wote wanalipa kodi kwa ajili ya maendeleo yetu sote watanzania.nenda kawe mvumilivu,mwenye hekima, busara,upendo,staha,subira na mnyenyekevu.uongozi ni kujifunza,huwezi ukajuwa kila kitu na huwezi ukamaliza kila kitu kwa akili yako mwenyewe.hivyo panapohitaji msaada wa kimawazo usisite kuwashirikisha wenzako. Lakini kubwa kuliko yote nakuomba umtangulize Mungu kwa kila jambo na kuomba hekima zake kama alivyofanya mfalme Sulemani na hatimaye kuzidishiwa mengi.wewe ni hazina yetu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
View attachment 2949860View attachment 2949861View attachment 2949862
Huyu Jamaa anatia kinyaa aisee!!!We ni mtu mjinga, samahani kwa kukuambia ukweli.
Ulimsifia sana alipopewa jukumu la kitaifa kwa chama Tawala hadi akafikia hatua ya kuwaita na kuwapigia simu mawaziri na maRC leo kaondolewa hadhi hiyo bado una sifia tena? Upunguani mtupu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nyumbu wa mtaa wa ufipa wamechanganyikiwa ,maana wanageuzwa kila siku hawaelewi washuke nini na waache nini. Mama yetu na Rais wetu kwa hakika ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.maana anawapa Raha watanzania mpaka wanatamani uchaguzi uwe kesho ili wampe kura za ndio kwa kishindo.yaan mabadiliko yanafanyika ndani ya ccm na serikali yake, vibration na mayowe yanaskika kwa majirani...
ni vizuri ikafahamika wazi, kwamba huo ni mwanzo tu wa mabadiliko mengine mengi katika kuimarisha utendaji kazi wa chama na serikali....
ni lazima Tz ipige hatua ya kimaendeleo kwa haraka na waTZ wafurahie kazi na matunda ya mipango na jitihada za serikali yao sikivu katika kuwaletea maendeleo kijamii, kisiasa, kiuchumi n.k........
na bado...
Nimeshaeleza kila kitu katika andiko languKwa nini umewaza hivo!?!
Ondoa unyumbu wako hapa wewe.Huyu Jamaa anatia kinyaa aisee!!!
Nilitaka nikutag bana 😂😂😂😂Ww jamaa ni wa kupuuzwa
Mwenzio katupiwa vilago ccm wewe unacheka !Ndio mwisho ya janja janja za Lema.
Kweli wewe huelewi kitu chochote kile na ndio maana mmekuwa mkipuuzwa na watanzania katika kila uchaguzi unaofanyika . Endelea kukaa kwa kutulia uone moto wa maendeleo unaokwenda kuwaka mkoani Arusha.Mwenzio katupiwa vilago ccm wewe unacheka !
naskia waandamizi wamehemka haswa mikocheni na nabii mnyang'anyi nkapanic mbaya sana 🐒Mwenzio katupiwa vilago ccm wewe unacheka !
Acha upuuzi. Nionee wivu kusifu?Nawewe si usifu na kuabudu kwa njia yako? Mbona wanaCCM mnaoneana Wivu? Wewe hutaki Arusha iwe zaidi ya Dubai?
Uandishi huu wa kichawa hakika binafsi sijaupenda. Ningefurahi zaidi sabaya pia angerejeshwa ulingoni kuwahudumia watanzania kwani wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi wanamuhitaji.Ndugu zangu Watanzania,
Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya mabadiliko mbalimbali ndani ya serikali yake imara na shupavu kwa kuwahamisha viongozi mbalimbali pamoja na kufanya uteuzi mpya.
Ambapo ni katika mabadiliko hayo yaliyoshuhudia Dunia ikitetemeka kama sumaku iliyokaribu na chuma au mtu aliyemwagiwa maji ya baridi sana wakati ni mgonjwa. Hii ni baada ya jina la Mwamba Mwenyewe,kijana jasiri kutoka kusini mwa jangwa la sahara na jabala la Siasa Mheshimiwa Paul Christian Makonda akipangiwa na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais kwenda kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.
kwa hakika wana Arusha wamepata jembe,wamepata kiongozi mchapa kazi,wamepata kiongozi jasiri ,shupavu,imara, madhubuti,hodari na asiye yumba wala kuyumbishwa.kiongozi mwenye misimamo thabiti na mwenye maono.wana Arusha wamependelewa na kupewa upendeleo wa kipekee sana.Ni bahati kwao kubwa sana kupelekewa Mheshimiwa Makonda mkoani kwao.
Kwa sababu ni mwisho wa watumishi wazembe,wavivu,wanaofanya kazi kwa mazoea,ni mwisho wa watumishi wadokozi kutoka halmashauri za jiji la Arusha,ni mwisho wa watumishi goigoi katika kuwahudumia wananchi,ni mwisho wa ubadhirifu wa pesa za umma,ni mwisho wa vilio vya wananchi wasiosikilizwa,ni mwisho kwa watumishi waliokuwa wamejisahau,ni mwisho kwa watumishi wa umma wanaofanya ofisi za umma kama mali zao binafsi na miungu watu,ni mwisho wa watumishi wenye viburi ,jeuri na majivuno .kwasababu anakuja Mwamba Mwenyewe ,jabali la majabali ,jeuri wa majeuri ,jasiri asiye na mfano .ni lazima MOTO wa maendeleo uwake Arusha kama nyota ya asubuhi.
Lakini ni mwanzo wa Arusha kupaa kimaendeleo kama ndege vita,ni mwanzo wa Arusha kushuhudia mafuriko na kumiminika kwa watalii katika jiji la Arusha,ni mwanzo wa kuona Arusha ikiongoza kwa mapato ya ndani,ni mwanzo wa kuona halmashauri za jiji la Arusha zikifanya vizuri kwa mambo mengi, ni mwanzo wa kuona jiji la Arusha likigonga vichwa vya habari katika Tv na magazeti kutoka ndani ya CNN marekani ,BBC uingereza,aljazira na vyombo vyote vikubwa Duniani.Ni mwanzo wakuona waandishi wote na vyombo vyote vya habari vya kimataifa vikiweka kambi mkoani Arusha ili kujifunza uongozi wa kusimamia maendeleo kutoka kwa Mwamba Paul Makonda.
Ni mwanzo wa kuona jiji la Arusha likiwa maarufu kupita hata majiji kama Washington DC Marekani au Paris Ufaransa au DUBAI au London uingereza au Vatican Italy au Amsterdam Uholanzi au Tokyo Japan au Jerusalem islael au Berlin ujeruman. Arusha inakwenda kuwa katika uso wa ulimwengu ,Arusha inakwenda kuwa katika vinywa na chaguo nambali moja la watalii, wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa kutoka kila kona ya Dunia.
Hii ni kwa kuwa Arusha inakwenda kuwa katika mikono salama ya Mheshimiwa Paul Makonda, kiongozi mchapa kazi na kiongozi Mbunifu sana na anayehitaji kuona matokeo yanapatikana kwa wakati.hapa kama nawaona vile watumishi mbalimbali katika jiji la Arusha wanavyotetemeka kama wagonjwa wa homa kali ,hasa wale wazembe ,hapa ni kama nawaona wanawanchi wa Arusha walivyolipuka kwa furaha baada ya kusikia uteuzi wa Mheshimiwa Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.
Mheshimiwa Makonda ulipewa imani na heshima ya kipekee kutoka kwa Rais wetu mpendwa ya wewe kuwa mwenezi wa chama na kwa hakika uliitendea haki nafasi hiyo japo ni kwa muda mfupi ,lakini umeacha historia na alama ya kipekee kabisa.umeacha na kukiweka chama midomoni mwao Watanzania,umekiacha chama kikiwa imara na mtetezi wa watanzania wanyonge na wasio na sauti,umekiacha chama kikiendelea kuwa tumaini na kimbilio la watanzania ,umekiacha chama salama na kwa hakika Watanzania watakukumbuka sana katika uongozi wako ndani ya chama.kwa hakika wanaccm tunasema asante Mheshimiwa Makonda kwa kazi kubwa uliyoifanya na namna ulivyojitolea kwa jasho kukipigania chama chetu.
Huna deni katika chama kwasababu ulitimiza wajibu wako kama kiongozi wetu ,umetufundisha mengi sisi wanachama wa CCM Nchi nzima, umetufundisha ujasiri na kutuonyesha nafasi ya chama katika kuisimamia serikali yake na kuwasemea watanzania,uliwaamsha viongozi waliokuwa wamelala maofisini na wakaanza kutoka kwenda kuwasikiliza wananchi.umekaa muda mfupi lakini matendo na kazi yako imekuwa ni kama umekaa karne nzima ndani ya CCM. Haijalishi umekaa muda gani lakini alama zako zitadumu daima na kubaki kama mfano wa kuigwa wa utumishi uliotukuka ndani ya chama chetu.
Nenda kamsaidie mama yetu na Rais wetu mpendwa Mama Samia Katika mkoa wa Arusha.usimuangushe katika imani hii kubwa ambayo ameendelea kukupatia.nenda kashirikiane na wote utakao wakuta,waheshimu wote,wapende wote,wathamini wote na watendee haki wote bila kujali hali zao za kiuchumi na hata itikadi za kisiasa kwa kuwa wote wanalipa kodi kwa ajili ya maendeleo yetu sote watanzania.nenda kawe mvumilivu,mwenye hekima, busara,upendo,staha,s huuubira na mnyenyekevu.uongozi ni kujifunza,huwezi ukajuwa kila kitu na huwezi ukamaliza kila kitu kwa akili yako mwenyewe.hivyo panapohitaji msaada wa kimawazo usisite kuwashirikisha wenzako. Lakini kubwa kuliko yote nakuomba umtangulize Mungu kwa kila jambo na kuomba hekima zake kama alivyofanya mfalme Sulemani na hatimaye kuzidishiwa mengi.wewe ni hazina yetu.