Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #201
Utahangaika sana maana Mwamba utaendelea kumuona akipaa kiuongozi kila uchwao.Arusha ndiyo exit yake akiharibu tena bench linamhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utahangaika sana maana Mwamba utaendelea kumuona akipaa kiuongozi kila uchwao.Arusha ndiyo exit yake akiharibu tena bench linamhusu
Huwa wanaokota takataka haswaMkuu 32 mbona mbali muulize hata Zambia hapo amewahi kufika kutokea kwao Tunduma?
Mtu mwenyewe anaandika eti "aljazira" badala ya Al Jazeera.
Sijui haya matakata ya PR CCM inayaokota wapi.
Hivi ujira wako ukoje kwa siku?Utahangaika sana maana Mwamba utaendelea kumuona akipaa kiuongozi kila uchwao.
Tuseme ukweli mbele za Mungu mimi na wewe nani anahangaika? Wewe kutwa unaandika magazeti mangapi juu ya huyo mhalifu na inakusaidia nini,je anakulipa ,na kama hakulipi jee huoni kuwa huo ni upungufu wa akili,unapoteza muda kutwa nzima kufanya kazi ambayo haikulipi.Utahangaika sana maana Mwamba utaendelea kumuona akipaa kiuongozi kila uchwao.
Labda kaahidiwa ndoa si unajua huyu lucas ni mama fulani hivi mjane.Hivi ujira wako ukoje kwa siku?
Unahangaika mno mno!
Katika nyuzi zote ametunga huyu bwege huu ndiyo umemvua nguo kabisa kuwa ni kilaza,yaani Makonda aijenge Arusha hadi iizidi Dubai na Washington,huu ni wazimu kabisa. Hata kama kuna mtu alikuwa anafikiria kumpigia chapuo ateuliwe hii ndiyo imeharibu kila kitu.Hata mimi namshangaa.
Yani Arusha kuwa famous kushinda Washington DC ikulu ya dunia???
Huyu jamaa ana utindi wa ubongo.
Jinga kabisa hili.Katika nyuzi zote ametunga huyu bwege huu ndiyo umemvua nguo kabisa kuwa ni kilaza,yaani Makonda aijenge Arusha hadi iizidi Dubai na Washington,huu ni wazimu kabisa. Hata kama kuna mtu alikuwa anafikiria kumpigia chapuo ateuliwe hii ndiyo imeharibu kila kitu.
Huyu hata angedhikri uchi hapati teuzi ni zero brain fulani hiviJinga kabisa hili.
Huwenda kakosa kazi za kufanya.
kashapigwa mimba na green guard huyu baby chawa . Chawa chawaniChawa jike unahangaika sana.