Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Utahangaika sana maana Mwamba utaendelea kumuona akipaa kiuongozi kila uchwao.
Tuseme ukweli mbele za Mungu mimi na wewe nani anahangaika? Wewe kutwa unaandika magazeti mangapi juu ya huyo mhalifu na inakusaidia nini,je anakulipa ,na kama hakulipi jee huoni kuwa huo ni upungufu wa akili,unapoteza muda kutwa nzima kufanya kazi ambayo haikulipi.
 
Hata mimi namshangaa.
Yani Arusha kuwa famous kushinda Washington DC ikulu ya dunia???
Huyu jamaa ana utindi wa ubongo.
Katika nyuzi zote ametunga huyu bwege huu ndiyo umemvua nguo kabisa kuwa ni kilaza,yaani Makonda aijenge Arusha hadi iizidi Dubai na Washington,huu ni wazimu kabisa. Hata kama kuna mtu alikuwa anafikiria kumpigia chapuo ateuliwe hii ndiyo imeharibu kila kitu.
 
Jinga kabisa hili.
Huwenda kakosa kazi za kufanya.
 
Back
Top Bottom