PreGE2025 Paul Makonda aomba mashindano ya Quran ya Alhikma yakafanyike Arusha, ahaidi usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake

PreGE2025 Paul Makonda aomba mashindano ya Quran ya Alhikma yakafanyike Arusha, ahaidi usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameomba Mashindano ya Quran Tukufu yakafanyike Mkoani humo mara baada ya Ramadhani na usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake yeye.

Akitangaza kwa watanzania Shekh Kishki alimpongeza Mheshimiwa Makonda kwani toka kipindi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar aliwaunga mkono sana Taasisi ya Alhikma.

"Mheshimiwa Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameomba baada ya Mashindano haya twende tukayafanyie Uwanja wa Shekh Amri Abeid baada ya Ramadhani , Yuko hapa tunae amechelewa Ndege tu lakin tunae hapa nyuma amekuja nae kuyashuhudia Mashindano haya" alisema Kishki

1742126561058.jpeg
 
Yatakayofanyika mwaka gani?, je asipokuwa mkuu wa mkoa wakati huo?
 
Viongozi wa dini wenye akili zao wakiibuka mamlaka zitaanzisha magonjera na mashahiri kuwakanya wasichanganye dini na siasa!
🙄🙄🙄
 
Yale mashindano ya kula futari za minofu ya Ng'ombe nani aliibuka mshindi?!
 
Back
Top Bottom