WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ukweli ndiyo huo mjinga akipewa cheo hujiona ni mtu wa maana kuliko wengine.Huyu mjinga hajui kuwa barabara bora ni haki ya kila mwananchi.
Si zawadi kwa anayejipendekeza kwa viongozi.
Mwaka 2015 Mahakama Kuu ya Bombay India ilitoa hukumu kwamba barabara nzuri zisizo na mashimo ni haki ya uraia kwa kila mtu.
Mwanzoni mwa karne ya 20 Marekani kulikuwa na "The Good Roads Initiative" iliyitaka kuunganusha sehemu zote za vijijini kwa barabara nzuri.
Yani Makonda bado hajafika wenzetu walipokuwa miaka 100 iliyopita.
Hizi kauli za Makonda ni za mtu ambaye hajaelimika, analimbuka bado.
Mangi si mmepachika hadi unabii ingawaje alishindwa kutabiri kuwa maandamano hayatakiwa wa wafuasi?πββοΈπββοΈSio kwamba aliombea, aliota Magufuli atakufa. Na kweli ndoto yake ikaja ikawa kweli. Kosa lake lipo wapi?. Halafu mambo personal usipeleke kwenye maendeleo ya umma.
Nabiii wa kuombea watu vifo ?hivi kumbe na wewe ni chizi kama Lema aisee?Unaumia kwa lema kuitwa nabii tunasafari ndefu sana kama taifa
Zimeanza Sasa wakati Tulia NJ Mbunge.
Miaka 10 ya Sugu ziliota mbawa ,miaka mingine ya CCM zilijengwa.
chadema mkuuWabunge mbaochagua Ili wakatekeleze ilani za chama gani?
Wakapeleke shida zenu Kwa Mawaziri wa Chama gani?
To shida baba.Geita na Shinyanya hawana majungu wala hawajaendekeza siasa ila barabara zao mbovu sijui na wenyewe kosa Lao lipi
Wabunge mbaochagua Ili wakatekeleze ilani za chama gani?
Wakapeleke shida zenu Kwa Mawaziri wa Chama gani?
Tokea 2020 hakuna barabara yeyote ya lami iliyojengwa ya maana na sio arusha ni karibia nchi nzimaAcha uchizi Mangi ,alipokuwa anaomba kura za ubunge aliahidi wanchi kitu gani ?kama sio kazi ya mmbunge kuwakilisha wanachi bungeni kwa niaba unadhani kazi ya ubunge ninkwenda kunywa chai ehe?
Kwani magufuli yuko wapi sababu alitabiriwa kifo kwani bado ni mzimaNabiii wa kuombea watu vifo ?hivi kumbe na wewe ni chizi kama Lema aisee?
Hivi hujui kuwa huyu chizi hadi alipewe jina la nabiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Hakika.Kumbe shida ni chama?. Halafu mama yenu analia Kodi inaishia kwenye mifuko ya wajanja. Si aseme Kodi walipe CCM pekee yao. Punguzeni unafiki na ubaguzi kwenye mambo ya kitaifa.
Acha uchawa na upumbavu. Unaifahamu Ar vizuri?? Makao Mapya, Kaloleni, Unga Ltd Mwanama relini hayo ni mifano michache wakati wa Mh Lema.Lema alikuwaga mbunge kwa miaka kumi kumbe hakuweza piga debe kuhusu barabara za hili jiji letu namba mbili hapa nchini?πββοΈπββοΈπββοΈ
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.Wabunge hawatekelezi ilani Bali serikali Kwa maana nyingine executive.
Mangi si mmepachika hadi unabii ingawaje alishindwa kutabiri kuwa maandamano hayatakiwa wa wafuasi?πββοΈπββοΈ
Nabiii wa kuombea watu vifo ?hivi kumbe na wewe ni chizi kama Lema aisee?
Tuamimi kuwa lema ba wewe pia mtaishi milele?Kwani magufuli yuko wapi sababu alitabiriwa kifo kwani bado ni mzima
Ni wapi ambapo mbunge anatakiwa kujenga barabara? Hivi hata kazi za wabunge mnazijua ninyo?Ujinga huo huo ndio ulitokea Kwa Sugu akiwa Mbeya.Hatutaki tena saizi tunatamba naTulia na SSH ππ
Hiyo umesema wewe sio mimiTuamimi kuwa lema ba wewe pia mtaishi milele?
Kwa hiyo Lema ni nabii mandazi kama hawa walipo sio?Hakuna utabili kwenye Jambo ambalo dalili zinaonesha serikali kupitia polisi wamelipiga marufuku.