Huyu mjinga hajui kuwa barabara bora ni haki ya kila mwananchi.
Si zawadi kwa anayejipendekeza kwa viongozi.
Mwaka 2015 Mahakama Kuu ya Bombay India ilitoa hukumu kwamba barabara nzuri zisizo na mashimo ni haki ya uraia kwa kila mtu.
Mwanzoni mwa karne ya 20 Marekani kulikuwa na "The Good Roads Initiative" iliyitaka kuunganusha sehemu zote za vijijini kwa barabara nzuri.
Yani Makonda bado hajafika wenzetu walipokuwa miaka 100 iliyopita.
Hizi kauli za Makonda ni za mtu ambaye hajaelimika, analimbuka bado.