Pre GE2025 Paul Makonda: Arusha hawakupata barabara kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara!

Pre GE2025 Paul Makonda: Arusha hawakupata barabara kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mjinga hajui kuwa barabara bora ni haki ya kila mwananchi.

Si zawadi kwa anayejipendekeza kwa viongozi.

Mwaka 2015 Mahakama Kuu ya Bombay India ilitoa hukumu kwamba barabara nzuri zisizo na mashimo ni haki ya uraia kwa kila mtu.

Mwanzoni mwa karne ya 20 Marekani kulikuwa na "The Good Roads Initiative" iliyitaka kuunganusha sehemu zote za vijijini kwa barabara nzuri.

Yani Makonda bado hajafika wenzetu walipokuwa miaka 100 iliyopita.

Hizi kauli za Makonda ni za mtu ambaye hajaelimika, analimbuka bado.
Ukweli ndiyo huo mjinga akipewa cheo hujiona ni mtu wa maana kuliko wengine.
 
Sio kwamba aliombea, aliota Magufuli atakufa. Na kweli ndoto yake ikaja ikawa kweli. Kosa lake lipo wapi?. Halafu mambo personal usipeleke kwenye maendeleo ya umma.
Mangi si mmepachika hadi unabii ingawaje alishindwa kutabiri kuwa maandamano hayatakiwa wa wafuasi?🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Acha uchizi Mangi ,alipokuwa anaomba kura za ubunge aliahidi wanchi kitu gani ?kama sio kazi ya mmbunge kuwakilisha wanachi bungeni kwa niaba unadhani kazi ya ubunge ninkwenda kunywa chai ehe?
Tokea 2020 hakuna barabara yeyote ya lami iliyojengwa ya maana na sio arusha ni karibia nchi nzima

Wakati wa lema ndo mara ya kwanza arusha inajengwa double road kuanzia tengeru mpaka sakani

Wakati wa lema ndo barabara nyingi za mjini kati zilipigwa lami
 
Lema alikuwaga mbunge kwa miaka kumi kumbe hakuweza piga debe kuhusu barabara za hili jiji letu namba mbili hapa nchini?🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Acha uchawa na upumbavu. Unaifahamu Ar vizuri?? Makao Mapya, Kaloleni, Unga Ltd Mwanama relini hayo ni mifano michache wakati wa Mh Lema.

Hapo anaongea na watu wazima wanaelewa malengo yake ni yepi na yuko Ar kwa kazi gani. Yeye ndiye mwenye majungu na siku zote mchawi ndiye wakwanza kufika msibani.
 
Mangi si mmepachika hadi unabii ingawaje alishindwa kutabiri kuwa maandamano hayatakiwa wa wafuasi?🙆‍♂️🙆‍♂️

Hakuna utabili kwenye Jambo ambalo dalili zinaonesha serikali kupitia polisi wamelipiga marufuku.
 
Back
Top Bottom