Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Binafsi namuunga sana Dkt. Ndugulile. Unaibu wa Wizara ya Afya ameifanya kwa weledi mkubwa na ametoa ushauri mzuri pale palipohitajika. Niwapongeze Wana Kigamboni kwa uamuzi mlioufanya. Asanteni sana.
 
Maneno ya busara kabisa

Btw sikujuaga kuwa we ni KE[emoji15][emoji849][emoji16]
 
Kama Makonda angetaka ubunge alitakiwa aje kwny jimbo letu la ukonga angepata kirahisi asingekuwa na mpinzani wa kumzidi akili.
 
Kama ni karata ulicheza gwalasha, anyway subiria nafasi za viti maarum! Mkulu atakujali tu.

Ila ukirudi shule itapendeza sana.
 
Kwahiyo sa itakuwaje nani atawaambia watu wareport central?

Ila si ni life tu??
 
Nikiwa kama mwanayanga nimefurahia matokeo haya, hasa nikimkumbuka manji
 
Wanafki Mme waonaaa wanafkiiiii
Your browser is not able to display this video.
 
Huo uongo na kubuni... kama ni hivyo si wote wana uwezo wa kufanya hivyo (iweje umshutumu mmoja aliyeshinda tu), hatahivyo ccm haikusubiri wewe kuisemea
 
I bet atapewa mkoa wa Dodomia auongoze, mahenge umri umeshaenda na ukizingatia ame excute order hatarishi kwake kutoka kwa top manyota so hawez kumuweka mbali nae
 
Kwanza nimpe pole Makonda kwa matokeo ya jana!

But I’m confused, “Asanteni....na kunipa nafasi niwe sehemu ya Maisha yenu”. Is he in denial?
Anaamini yeye ndiye hatimaye atateuliwa na "vikao vya juu" kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu
 
I bet atapewa mkoa wa Dodomia auongoze, mahenge umri umeshaenda na ukizingatia ame excute order hatarishi kwake kutoka kwa top manyota so hawez kumuweka mbali nae
Amuombe Mungu kwanza akiongoze kinywa chake kiwe na busara.
Hang'ai hata kwa JIKI.

AHSANTENI CCM KIGAMBONI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…