🤣🤣🤣Mm nadhani haya mavazi ya hijabu na baibui yasitishwe kwa muda hadi makonda apatikane.
Isije ikawa tunapishana nae humu humu mjini kwenye vazi la baibui..[emoji3][emoji3][emoji3].
Kama alivyotoroka rais wa visiwa vya Anjuani Comoro.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Jinai ni Jinai. Hata jamhuri inaweza kumshtaki bila kuagizwa na Clouds.Ushambiki usio na faida yoyote Clouds wahusika hawana nia ya kushitaki.... huyo Kubenea mwenyewe amezima kesi yake ya jinai
Huyu jamaa Enzi zake alidhalilisha sana watu wazima !! Acha yamkute ya kumkuta !! KARMA AT WORK !!!Hii ilinisikitisha sana yan[emoji174]
Sawa mkuuAisee!
Katika Watu wanaoEnjoy hapa Tz yeye No1. Anyway nilimuona Msibani kwa Mama yake RC wa Morogoro huku SHY juzi Kati.Mwanaume hutakiwi kuendesha IST - Makonda
The power of ndumbaism ilishindwa msaidia kutabiri future.Musiba uwa anajisifia ana jopo la waganga anawanyamazisha kwa ndumba inakua kimya kama hivyo
Hawezi chomoka ana kesi nyingi Sana kwa matendo yakeUshambiki usio na faida yoyote Clouds wahusika hawana nia ya kushitaki.... huyo Kubenea mwenyewe amezima kesi yake ya jinai
EU Mhimili wa Dunia....hata akimbilie KongoYaaan na ni nyumba kwa nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu huyu aliyesema katika mkoa wake ni lazima wanaume wote wapimwe tezi dume.
Unafikiri Makonda ni Lissu au Lema?Duh! Atakuwa anaishi kama digidigi. Kama katoroka labda atakuwa South Africa
Uliimbwa na nani?Nimekumbuka ule wimbo "maisha ni mlima".
One of my best song boss, ndio nimeusikiliza hapaumeimbwa na lady Isa