Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Mm nadhani haya mavazi ya hijabu na baibui yasitishwe kwa muda hadi makonda apatikane.
Isije ikawa tunapishana nae humu humu mjini kwenye vazi la baibui..[emoji3][emoji3][emoji3].

Kama alivyotoroka rais wa visiwa vya Anjuani Comoro.
[emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣
 
Ji
Ushambiki usio na faida yoyote Clouds wahusika hawana nia ya kushitaki.... huyo Kubenea mwenyewe amezima kesi yake ya jinai
Jinai ni Jinai. Hata jamhuri inaweza kumshtaki bila kuagizwa na Clouds.
 
May Day!

Kumbuka Mahakama sio saloon eti achague kwenda au laa! Nilazima atatafutwa na kuwekwa kizuizini bila hata ya dhamana na kesi itaendelea tuu.
 
Waongeze na shtaka la kujipatia mali kwa kutumia ofisi ya umma.Inakuwaje mtu kahudumu kwenye uDC na uRC kwa takriban miaka kumi ana ukwasi wa kupitiliza.
 
Wacongo usema Dunia ni lukuba lukuba.
For every action has equal results, you reap what you sow

IMG-20220204-WA0007.jpg
 
Musiba uwa anajisifia ana jopo la waganga anawanyamazisha kwa ndumba inakua kimya kama hivyo
The power of ndumbaism ilishindwa msaidia kutabiri future.
Chawa wa magu wamebakia yatima.Wanakula matendo yao
 
Ushambiki usio na faida yoyote Clouds wahusika hawana nia ya kushitaki.... huyo Kubenea mwenyewe amezima kesi yake ya jinai
Hawezi chomoka ana kesi nyingi Sana kwa matendo yake
 
Huyu jambawazi nawaambia yataibuka makubwa ya jambazi sabaya yatakuwa 'chamtoto'
Kapora fedha za watu wengi sana kibabe
'kadhulumu' maisha ya watu
 
Hi kesi Kama hamna mkono wa serikali mtaendelea kuonekana vichaa
 
Back
Top Bottom