Decibel
Senior Member
- Nov 30, 2019
- 172
- 316
Aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!
Labda kwa uchawiMakonda ana uwezo wa kumshughulikia aliyefungua hiyo kesi uchwara halafu muanze kulalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
Gosh! Eventually the happiest person in the country has become a fugitive
Kwa pesa gani hali hana ubunifu wa utafutaji zaidi ya upigaji.Duh! Atakuwa anaishi kama digidigi. Kama katoroka labda atakuwa South Africa
Huu upuuzi mwamunyange aliukataa akamwambia jiwe utoto achezee kwingine na sio jeshi.
Ila aliichangamsha sana dar,Mwanaume hutakiwi kuendesha IST - Makonda
Mbona Cyprian Musiba kashtakiwa na kahukumiwa kulipa mabilion na Shangazi na Joka la mdimu lakini kimyaa Hadi Sasa.
Ushambiki usio na faida yoyote Clouds wahusika hawana nia ya kushitaki.... huyo Kubenea mwenyewe amezima kesi yake ya jinaiPopote alipo lazima atafutwe hadi apatikane