Waziri kilaza na chawa wa nguli mama..There is bright future ahead of this gentlemen politically speaking...
Acha ujinga wako wewe.Hivi bado mnajiita wanyonge wakati mateka wenu kaisha sepeshwa na Mungu
Mahakama gani ambayo ilithibitisha huo uzushi wako huo?Makonda atabaki kuwa kiongozi pekee nchini aliyepigwa marufuku kukanyaga ndani ya ardhi ya nchi nyingine kwa kosa la kukatisha uhai wa wananchi wake,kwa hiyo makonda atabaki kuwa ni muuaji until his innocence proved.
Ipo hivi bosi Allency , waliokuwa wanamchukia Dkt Magufuli kwa sababu ya kuwapa sauti ya usawa hata kwa wale ambao hawana sauti ndiyo hao hao wanaomchukia Makonda. Makonda tangu akiwa Mkuu wa Mkoa au akiwa Vijana ni kiongozi wa kusemea wasiokuwa na sauti.Mkuu acha kutumia wingi, sema mimi na familia yangu tunampenda Bashite
Nimekutukana matusi ya nguoniHivi bado mnajiita wanyonge wakati mateka wenu kaisha sepeshwa na Mungu
uungwana ni maneno na vitendo ticha, nimekubali marekebisho hayo ktk lugha ya malikia mwalimu wa language certificate uliefeli na uko tu mtaani πWaziri kilaza na chawa wa nguli mama..
Singular ni gentleman
Plural ndio gentlemen.
Pia hakuna future kwa muuaji aliyefungiwa kuja dunianini huku,huyu ni muuaji wa kimataifa ni kibaka anayepewa walinzi na wajinga mliopo huko mnamuita mheshimiwa hatambuliki huku hivyo.View attachment 2886805
Utakuwa ulipata kibendera kwenye hilo somo kama Nape.
kuna watu tutawaacha mbali sana for sure halafu waje kulalamika huko mbeleniAnaleta mzaha wakati huyo ni Rais Anayeendelea kuandaliwa siku za mbele kuja kuongoza Taifa letu. Na tayari Watanzania wamepokea Mh Makonda kwa mikono miwili na kukubalia kuwa anatosha na anastahili kuja kupewa majukumu ya Urais wa Taifa letu.
Ngoja Muda ufike tu.kuna watu tutawaacha mbali sana for sure halafu waje kulalamika huko mbeleni
NAKAZIATakataka
Ujinga mzigo.uungwana ni maneno na vitendo ticha, nimekubali marekebisho hayo ktk lugha ya malikia mwalimu wa language certificate uliefeli na uko tu mtaani π
hata na hivyo nimefurahi sana umeelewa vuzuri mno hoja yangu,
Licha ya kwamba maoni na mtazamo wako wenye gubu binafsi ni haki yako lakini hayana msingi wowote ni upotoshaji na nadhani ni vizuri yakapuuzwa tyuuuuuπ
asietaka kumskiza si ni wewe tu ticha na ni haki yako hulazimishwi π€£Ujinga mzigo.
Kwanza sikufeli kama boss wenu na huyo muenezi wake maana walipata 0.
Yes nipo mtaani hapa Crosby karibu sana hakuna malalamiko ya washenzi wa TANESCO wala DAWASCO wala hakuna mtu anaweza msikiliza hapa mtu zero brain kama Makonda.
umejifingia kwa ndani chumbani pekeyako na bado unaogopa kuvua hata suruali kwamba utaonwa πMakamu Mwenyekiti wa CCM Bara.
Makamu wa Rais Tanzania.
Nsumbantale.
Aisee, kuna watu wamechoka mbaya sana. Yaani hawa watu choka mbaya kuna kipindi huko nyuma walituaminisha Tanzania na Serikali yake ni mbaya Kuliko(walishindwa kuthibitisha by the way) na viongozi wake, including Nsumbantale kwamba hawatakuja kuendesha Serikali, hawatashika nyadhifa muhimu, na kwamba wana ushawishi mkubwa sana kiasi cha wao kuweza kufanya mabadiliko wakati wowote pale watakavyo na waonavyo!
Mbula!
Sasa wamebaki wanahaha humu Jamvini
Nsumbantale yupo pale, vipi tena?
Mjitafakari.
Ndugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa enda nchi yangu.
0742-676627.
Watanzania wote sisi ni ndugu .labda kama wewe ni mhamiaji haramu ndio huwezi kuelewa jambo hili. Ndio maana mtanzania unaweza kutoka Mbeya ikaenda Mwanza na ukapo vizuri ukapewa sehemu ya kulala na chakula na kesho ukasindikizwa vizuri kuendelea na safari yako.Hatuna undugu na wewe, na wasiwasi na uraia wako
Watanzania wote sisi ni ndugu .labda kama wewe ni mhamiaji haramu ndio huwezi kuelewa jambo hili. Ndio maana mtanzania unaweza kutoka Mbeya ikaenda Mwanza na ukapo vizuri ukapewa sehemu ya kulala na chakula na kesho ukasindikizwa vizuri kuendelea na safari yako.
Ha ha.umejifingia kwa ndani chumbani pekeyako na bado unaogopa kuvua hata suruali kwamba utaonwa π
π€£π€£π€£Unapata wapi ujasiri wa kutofautiana na Ms Mwashambwa ambaye huwezi jua kama ni mhabarishaji, mhamasishaji, mwananharakati au chawa?
So wewe bado ni mnyonge?Nimekutukana matusi ya nguoni
Anyway kumpenda/kumkubali mtu ni jambo binafsi na siyo kosa kisheria. Kama wewe unampenda Bashite ni haki yako pia. Ila mimi ambacho nashauri ni watu kama wewe muache kujiita wanyonge. Katika dunia hii masikini na wapumbavu ni wengi kuliko matajiri na werevu. Kuungwa mkono na wapumbavu wengi siyo kipimo sahihiIpo hivi bosi Allency , waliokuwa wanamchukia Dkt Magufuli kwa sababu ya kuwapa sauti ya usawa hata kwa wale ambao hawana sauti ndiyo hao hao wanaomchukia Makonda. Makonda tangu akiwa Mkuu wa Mkoa au akiwa Vijana ni kiongozi wa kusemea wasiokuwa na sauti. Ila bahati mbaya baadhi yetu sisi huwa tuna tabia ya ubinafsi, yaani tunatamani masikini aendelee kuwa masikini yaani wachache wapate neema. Hivyo hatumpendi Makonfa kabisa ila tunapenda kile ambacho Mungu kakiweka kwake, tunapenda Dkt Magufuli ideology, yaani yeyote hata kama Mbowe leo hii akianza kutembea na ideology ya Dkt Magufuli atapendwa balaa