Waziri kilaza na chawa wa nguli mama..There is bright future ahead of this gentlemen politically speaking...
Singular ni gentleman
Plural ndio gentlemen.
Pia hakuna future kwa muuaji aliyefungiwa kuja dunianini huku,huyu ni muuaji wa kimataifa ni kibaka anayepewa walinzi na wajinga mliopo huko mnamuita mheshimiwa hatambuliki huku hivyo.
Utakuwa ulipata kibendera kwenye hilo somo kama Nape.