Pre GE2025 Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

Pre GE2025 Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
There is bright future ahead of this gentlemen politically speaking...
Waziri kilaza na chawa wa nguli mama..

Singular ni gentleman

Plural ndio gentlemen.

Pia hakuna future kwa muuaji aliyefungiwa kuja dunianini huku,huyu ni muuaji wa kimataifa ni kibaka anayepewa walinzi na wajinga mliopo huko mnamuita mheshimiwa hatambuliki huku hivyo.
images (13).jpeg

Utakuwa ulipata kibendera kwenye hilo somo kama Nape.
 
Makonda atabaki kuwa kiongozi pekee nchini aliyepigwa marufuku kukanyaga ndani ya ardhi ya nchi nyingine kwa kosa la kukatisha uhai wa wananchi wake,kwa hiyo makonda atabaki kuwa ni muuaji until his innocence proved.
Mahakama gani ambayo ilithibitisha huo uzushi wako huo?
 
Mkuu acha kutumia wingi, sema mimi na familia yangu tunampenda Bashite
Ipo hivi bosi Allency , waliokuwa wanamchukia Dkt Magufuli kwa sababu ya kuwapa sauti ya usawa hata kwa wale ambao hawana sauti ndiyo hao hao wanaomchukia Makonda. Makonda tangu akiwa Mkuu wa Mkoa au akiwa Vijana ni kiongozi wa kusemea wasiokuwa na sauti.

Ila bahati mbaya baadhi yetu sisi huwa tuna tabia ya ubinafsi, yaani tunatamani masikini aendelee kuwa masikini yaani wachache wapate neema. Hivyo hatumpendi Makonfa kabisa ila tunapenda kile ambacho Mungu kakiweka kwake, tunapenda Dkt Magufuli ideology, yaani yeyote hata kama Mbowe leo hii akianza kutembea na ideology ya Dkt Magufuli atapendwa balaa
 
Waziri kilaza na chawa wa nguli mama..

Singular ni gentleman

Plural ndio gentlemen.

Pia hakuna future kwa muuaji aliyefungiwa kuja dunianini huku,huyu ni muuaji wa kimataifa ni kibaka anayepewa walinzi na wajinga mliopo huko mnamuita mheshimiwa hatambuliki huku hivyo.View attachment 2886805

Utakuwa ulipata kibendera kwenye hilo somo kama Nape.
uungwana ni maneno na vitendo ticha, nimekubali marekebisho hayo ktk lugha ya malikia mwalimu wa language certificate uliefeli na uko tu mtaani 🐒

hata na hivyo nimefurahi sana umeelewa vuzuri mno hoja yangu,

Licha ya kwamba maoni na mtazamo wako wenye gubu binafsi ni haki yako lakini hayana msingi wowote ni upotoshaji na nadhani ni vizuri yakapuuzwa tyuuuuu🐒
 
Analeta mzaha wakati huyo ni Rais Anayeendelea kuandaliwa siku za mbele kuja kuongoza Taifa letu. Na tayari Watanzania wamepokea Mh Makonda kwa mikono miwili na kukubalia kuwa anatosha na anastahili kuja kupewa majukumu ya Urais wa Taifa letu.
kuna watu tutawaacha mbali sana for sure halafu waje kulalamika huko mbeleni
 
uungwana ni maneno na vitendo ticha, nimekubali marekebisho hayo ktk lugha ya malikia mwalimu wa language certificate uliefeli na uko tu mtaani 🐒

hata na hivyo nimefurahi sana umeelewa vuzuri mno hoja yangu,

Licha ya kwamba maoni na mtazamo wako wenye gubu binafsi ni haki yako lakini hayana msingi wowote ni upotoshaji na nadhani ni vizuri yakapuuzwa tyuuuuu🐒
Ujinga mzigo.

Kwanza sikufeli kama boss wenu na huyo muenezi wake maana walipata 0.

Yes nipo mtaani hapa Crosby karibu sana hakuna malalamiko ya washenzi wa TANESCO wala DAWASCO wala hakuna mtu anaweza msikiliza hapa mtu zero brain kama Makonda.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.

Makamu wa Rais Tanzania.

Nsumbantale.

Aisee, kuna watu wamechoka mbaya sana. Yaani hawa watu choka mbaya kuna kipindi huko nyuma walituaminisha Tanzania na Serikali yake ni mbaya Kuliko(walishindwa kuthibitisha by the way) na viongozi wake, including Nsumbantale kwamba hawatakuja kuendesha Serikali, hawatashika nyadhifa muhimu, na kwamba wana ushawishi mkubwa sana kiasi cha wao kuweza kufanya mabadiliko wakati wowote pale watakavyo na waonavyo!

Mbula!

Sasa wamebaki wanahaha humu Jamvini

Nsumbantale yupo pale, vipi tena?

Mjitafakari.
 
asietaka kumskiza si ni wewe tu ticha na ni haki yako hulazimishwi 🤣

muhimu usipate tu gubu kwasababu ya mamilioni wanamlilia na kumskiza

endelea kujiinjoy endelea kwa bidii sana kujitafuta kama maji na umeme unavipata baraaabaraaa 🐒
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.

Makamu wa Rais Tanzania.

Nsumbantale.

Aisee, kuna watu wamechoka mbaya sana. Yaani hawa watu choka mbaya kuna kipindi huko nyuma walituaminisha Tanzania na Serikali yake ni mbaya Kuliko(walishindwa kuthibitisha by the way) na viongozi wake, including Nsumbantale kwamba hawatakuja kuendesha Serikali, hawatashika nyadhifa muhimu, na kwamba wana ushawishi mkubwa sana kiasi cha wao kuweza kufanya mabadiliko wakati wowote pale watakavyo na waonavyo!

Mbula!

Sasa wamebaki wanahaha humu Jamvini

Nsumbantale yupo pale, vipi tena?

Mjitafakari.
umejifingia kwa ndani chumbani pekeyako na bado unaogopa kuvua hata suruali kwamba utaonwa 🐒
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa enda nchi yangu.

0742-676627.

Hatuna undugu na wewe, na wasiwasi na uraia wako
 
Hatuna undugu na wewe, na wasiwasi na uraia wako
Watanzania wote sisi ni ndugu .labda kama wewe ni mhamiaji haramu ndio huwezi kuelewa jambo hili. Ndio maana mtanzania unaweza kutoka Mbeya ikaenda Mwanza na ukapo vizuri ukapewa sehemu ya kulala na chakula na kesho ukasindikizwa vizuri kuendelea na safari yako.
 
Sawa, mimi ni mhamiaji haramu
 
Ipo hivi bosi Allency , waliokuwa wanamchukia Dkt Magufuli kwa sababu ya kuwapa sauti ya usawa hata kwa wale ambao hawana sauti ndiyo hao hao wanaomchukia Makonda. Makonda tangu akiwa Mkuu wa Mkoa au akiwa Vijana ni kiongozi wa kusemea wasiokuwa na sauti. Ila bahati mbaya baadhi yetu sisi huwa tuna tabia ya ubinafsi, yaani tunatamani masikini aendelee kuwa masikini yaani wachache wapate neema. Hivyo hatumpendi Makonfa kabisa ila tunapenda kile ambacho Mungu kakiweka kwake, tunapenda Dkt Magufuli ideology, yaani yeyote hata kama Mbowe leo hii akianza kutembea na ideology ya Dkt Magufuli atapendwa balaa
Anyway kumpenda/kumkubali mtu ni jambo binafsi na siyo kosa kisheria. Kama wewe unampenda Bashite ni haki yako pia. Ila mimi ambacho nashauri ni watu kama wewe muache kujiita wanyonge. Katika dunia hii masikini na wapumbavu ni wengi kuliko matajiri na werevu. Kuungwa mkono na wapumbavu wengi siyo kipimo sahihi
 
Back
Top Bottom