Pre GE2025 Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

Pre GE2025 Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa

0742-676627.
Hongera yake Chifu Nsumbantale...
 
Fanya kazi na chapa kazi kwa bidii uguse maisha ya watu na kuleta matumaini, tabasamu na furaha kwa wengi uone kama jamii haita kuunga mkono na kukupatia heshima kama apewayo Mheshimiwa Makonda kila apitako.
Eti Mh, lakini siyo kesi kwani kuna watu wanamuita Jiwe shujaa wao
 
Mkuu acha kutumia wingi, sema mimi na familia yangu tunampenda Bashite
Mheshimiwa Makonda ni kipenzi cha watanzania wanyonge .ndio maana unaona namna watu wanavyofurika na kumiminika kwa maelfu katika mikutano yake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa

0742-676627.
Kwa mjibu wa ulivyoandika na kwa utaratibu wa kisukuma ulivyo ambao wewe hauujui NSUMBATALE ni rika la vijana ambao wanatumwa hawa ndio wanaoshughulika na kazi na Vijana wakubwa wanawaangalia. Ni kama monitor darasani
 
yaan kumbe we unalete mzaha ee kwenye mambo muhimu shauli yako 🐒
Analeta mzaha wakati huyo ni Rais Anayeendelea kuandaliwa siku za mbele kuja kuongoza Taifa letu. Na tayari Watanzania wamepokea Mh Makonda kwa mikono miwili na kukubalia kuwa anatosha na anastahili kuja kupewa majukumu ya Urais wa Taifa letu.
 
Back
Top Bottom