cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..atakuwa ni Chifu wa kwanza kufanyiwa Brazilian But Lift BBL na kuwa na makalio makubwa ktk historia ya Machifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..atakuwa ni Chifu wa kwanza kufanyiwa Brazilian But Lift BBL na kuwa na makalio makubwa ktk historia ya Machifu.
Labda uganga, uanajeshi tayari mbona.phd washazibaka wamekimbilia kwenye uchifu sasa.bado kusimikwa uganga na uwanajeshi
Wote wasaidizi wa mama Dr. SSH watakuwa machifu nsumbantale, kwani Kuna shida gani si wasaidiziSubiri Dr. Nchimbi ataenda kwanza kabla ya Mnyika na utajionea maajabu ya machifu njaa.
Hii ni zaidi ya takatakaTakataka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..atakuwa ni Chifu wa kwanza kufanyiwa Brazilian But Lift BBL na kuwa na makalio makubwa ktk historia ya Machifu.
Hii nchi ina maajabu sana, Bashite anaweza kuwa rais kimzaha mzaha. Ila jamaa no mchawi konkiThere is bright future ahead of this gentlemen politically speaking...
Hongera yake Chifu Nsumbantale...Ndugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa
0742-676627.
Ila we jamaa uchawa unauweza sana. Natoa mapendekezo kuwa posho yako iongezweNimeshaeleza mbona kila kitu kuwa maana yake ni msaidizi wa chifu mkuu Hangaya ambaye ni mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia Suluhu Hasssan.
Eti Mh, lakini siyo kesi kwani kuna watu wanamuita Jiwe shujaa waoFanya kazi na chapa kazi kwa bidii uguse maisha ya watu na kuleta matumaini, tabasamu na furaha kwa wengi uone kama jamii haita kuunga mkono na kukupatia heshima kama apewayo Mheshimiwa Makonda kila apitako.
Mkuu acha kutumia wingi, sema mimi na familia yangu tunampenda BashiteMungu ambariki sana Makonda, watanzania tunampenda mno mno tena sana. Dkt Samia ndiyo chaguo letu 2025
Mheshimiwa Makonda ni kipenzi cha watanzania wanyonge .ndio maana unaona namna watu wanavyofurika na kumiminika kwa maelfu katika mikutano yake.Mkuu acha kutumia wingi, sema mimi na familia yangu tunampenda Bashite
Mimi siandiki hapa kwa ajili ya kulipwa kama unavyofikiria wewe.Ila we jamaa uchawa unauweza sana. Natoa mapendekezo kuwa posho yako iongezwe
Hivi hawa machifu njaa huwa wanalipwa mshahara au ndiyo maana wana njaa kiasi hikiSubiri Dr. Nchimbi ataenda kwanza kabla ya Mnyika na utajionea maajabu ya machifu njaa.
Mnaenda naye wapi wakati nchi wastarabu wameshampiga ban Bashite kukanyaga humoSana ni Dkt Samia tu. Na 2035 tunaenda na Makonda
Hivi bado mnajiita wanyonge wakati mateka wenu kaisha sepeshwa na MunguMheshimiwa Makonda ni kipenzi cha watanzania wanyonge .ndio maana unaona namna watu wanavyofurika na kumiminika kwa maelfu katika mikutano yake.
Kwa mjibu wa ulivyoandika na kwa utaratibu wa kisukuma ulivyo ambao wewe hauujui NSUMBATALE ni rika la vijana ambao wanatumwa hawa ndio wanaoshughulika na kazi na Vijana wakubwa wanawaangalia. Ni kama monitor darasaniNdugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa
0742-676627.
Kama hulipwi unawezaje kujitoa akili kiasi hiki? Au wewe wajiona uko sawa?Mimi siandiki hapa kwa ajili ya kulipwa kama unavyofikiria wewe.
yaan kumbe we unalete mzaha ee kwenye mambo muhimu shauli yako 🐒Hii nchi ina maajabu sana, Bashite anaweza kuwa rais kimzaha mzaha. Ila jamaa no mchawi konki
Analeta mzaha wakati huyo ni Rais Anayeendelea kuandaliwa siku za mbele kuja kuongoza Taifa letu. Na tayari Watanzania wamepokea Mh Makonda kwa mikono miwili na kukubalia kuwa anatosha na anastahili kuja kupewa majukumu ya Urais wa Taifa letu.yaan kumbe we unalete mzaha ee kwenye mambo muhimu shauli yako 🐒