Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Makonda kafanya maisha ya wengi yawe magumu mnamrudisha wa nini ?

alipoondoka alihojiwa ofisini alisema anachojutia hajafanikiwa kuwapima wanaume wa Dar tezi dume (kwa njia ya dole)

Hapa stop ya kwanza anaenda kuendeleza visasi vyake.
CCM wote dole la kati linaenda kuwahusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uteuzi bora kabisa katika miaka hii mitatu ya Rais samia.na unaweza kuwa uteuzi wa kihistoria kuwahi kufanywa ndani ya chama.
Uwe unakumbuka na kumtukuza Mungu usijisahau sana, huyo Samia ni binaadamu tu leo yupo na kesho hayupo ila Mungu ni wa milele kama si rehma zake usingekuwa na pumzi unazotumia muda wote humu kusifu na kumtukuza Samia.
 
Kumbe huyu mama ni katili na muuaji! Anamchagua muuaji aje kuua watu?
 
Makonda kafanya maisha ya wengi yawe magumu mnamrudisha wa nini ?

alipoondoka alihojiwa ofisini alisema anachojutia hajafanikiwa kuwapima wanaume wa Dar tezi dume (kwa njia ya dole)

Hapa stop ya kwanza anaenda kuendeleza visasi vyake.
Huyu Hana bahati!!!
Hana bahati....
Narudia Hana bahati!!!!
 
Kwani April fool imekuja haraka mbona why?
 
CCM imepotea njia miiko na kanuni hekima itikadi, hivi imekosa mtu safi mwenye rekodi safi asiye na Jinai wala tuhuma za aina yoyote?
Wakati wa mwl. Ukishakuwa umewahi kufikishwa mahakamani kwa tuhuma zozote ulikuwa huwezi kupata nafasi tu utumishi wa umma ndani ya Chama aidha serekalini.
 
Kama nawaona akina nanii na team yake wamenuna mbaya...😂🤐
 
Shikamoo mange kimambi ningekuwa ok ningekutunuku kwa kupakua app maana Jana ulisema nikajua umbea
 
Watu wajiandae kukojolewa na kunyewa vichwani bashite ni jeering mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…