Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Hiyo ndio kanuni ya ulimwenguni hasa Afrika.
Ukipata jambo jema wa kwanza kuja kukupongeza ndio maadui wako.
Ukipatwa na msiba wa kwanza kuja kulia au kukufariji ndio adui wako no. 1
asante kwa hii kanuni, itanisaidia
 
Marekani inamhesabu mtu huyu kama muuaji aliyenyimwa haki ya viza ya USA kwa sababu ya matendo yake ya kudhulumu haki ya uhai wa wengine.
Alishiriki katika mipango ya kumuua Lissu, mission ikafeli kwa nguvu za makusudi mazima ya Mungu.
Sasa aliyekuwa makamu wa rais wa wakati ule ndio rais na ni dhahiri alifahamu kuhusu lile shambulizi.
Ameamua kuchukua upande wa siasa za mabavu kwa kimrudisha makonda kwenye uongozi.
Safari hii ni farao na jeshi lake wameamua kushuka pakavu baharini kuwafuatilia wana wa Israel.
Kauli ya machinjio ya baharini ndiicho kitu kitakachoipata ccm kwa sasa.
Wananchi hawapo tena gizani na hakuna raia anaekubali kufiwa na ndugu yake kwa sasa kisa eti makonda amfurahishe aliyemtuma.
 
Acha ahadi ya Bwana itimie , ccm inapita mlemle, kweli Mungu wangu Mwaminifu sana, twende tu
 
Hahaa! Duh! Watu wana mikakati, DPWorld imeunganishiwa juu kwa juu na Makonda. Political strategies, safi sana.
Ila tu huenda alielewa yasiyopendeza ya enzi zile,hivyo naamini atakuwa mtu mpya wa enzi mpya na kwa namna na mikakati mipya.
 
Na bado utaongea yote na huna anayekusikiliza!
Marekani ndo nini? Kwanza unaushahidi gani bado wanalifanyia kazi hilo?.
Leo ni siku yenu chungu sana Kama shubiri!😂😂😂
 
Du!
 
Very disappointed with the appointment,I choose to reserve my comments,BUT LET THEM CCM GO AND LISTEN TO THE SONG OF THE LATE LUCKY DUBE,..,''YOU GONNA REAP,JUST WHAT YOU SOW''...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…