Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuishinda CCM kwa kura ni ngumu, twatakiwa tutafute mbinu mpyaNi dhahiri, maridhiano na CHADEMA yamefikia mwisho.
Hongera sana Kwa Komredi Makonda jembe kweli kweliView attachment 2789085
Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi.
===
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masala mengine, imeridhia kwa kauli moja na kuielekeza Serikali kuendelea na hatua ya utiaji saini mikataba ya uendelezaji na uwekezaji wa bandari.
Aidha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imefanya mabadiliko madogo ya Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwa kumteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, akichukua nafasi ya Ndugu Sophia Edward Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum.
Halmashauri Kuu ya CM Taifa pia imemteua Ndugu Rabia Abdallah Hamid kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), akichukua nafasi ya Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.
Aidha katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imezipongeza Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dokta Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, chini ya Rais Dokta Hussen Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kazi kubwa na nzuri ya kuendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025.
===
Pia soma: Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!
Kwa ajili ya nini? Yaani huyu naye ndio cream ya CCM? Pumbavu zao kabisa. Si bora wangemteua Pascal Mayalla au Lucas MwashambwaJambo jema sana...hapo kina mbowe Wanatamani kukimbilia ubelgiji walaah
Makonda na bibi yule wana uhusiano usiofaaView attachment 2789085
Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi.
===
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masala mengine, imeridhia kwa kauli moja na kuielekeza Serikali kuendelea na hatua ya utiaji saini mikataba ya uendelezaji na uwekezaji wa bandari.
Aidha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imefanya mabadiliko madogo ya Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwa kumteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, akichukua nafasi ya Ndugu Sophia Edward Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum.
Halmashauri Kuu ya CM Taifa pia imemteua Ndugu Rabia Abdallah Hamid kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), akichukua nafasi ya Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.
Aidha katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imezipongeza Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dokta Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, chini ya Rais Dokta Hussen Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kazi kubwa na nzuri ya kuendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025.
===
Pia soma: Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!
Yaani hii ni kali sana. CCM ni maprofesa wa haya mambo. Hapa raia hawana namna zaidi ya kumwongelea Makonda.Watu washavurugwa hapo mbuzi wa kafara mkataba usiongelewe 😀, karibu tena bhana Makonda.
Chongolo no boss wa Makonda, CCM wakija kwenye maslahi yao kama wao hawana adui ni wamoja tu.Joseph Gwajima na Chongolo wataficha wapi nyuso zao?
Sasa chongolo si ni boss wake?Joseph Gwajima na Chongolo wataficha wapi nyuso zao?
Ngojea tuone, labda atakuwa amekuwa mkomavu kwenye baadhi ya mambo.Hamna atakuwa kajifunza busara
Kwisha kwa huyo kilaza bashite ?Good!
Opposition parties usingizi kwishaaa!
Good!
Opposition parties usingizi kwishaaa!